Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheheheheeee mkuu kuhusu hili suala la wese Magu atapambana mpk kieleweke mana hisia zake zinamuambia kabisa wese haliwezi kosa Tz piga ua na hata viashiria vingi vinaonesha hivyo, pia Magu anataka agundue wese ili aanze kutoa mikopo ya riba nafuu kwa nchi zngne ikiwemo kenya zen washindwe kulipa akachukue lamu port [emoji3][emoji3][emoji3]
😀 dah!
 
Tanzania mpya, yn tunawarudisha home mabalozi wasiofanya kazi ipasavyo huyo apo PM, pia kuna kamstari nadhani kamjibu wanjala na wakora wenzake[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

Majaliwa, tutawarudisha nyumbali walioshindwa kutangaza utaliiView attachment 1541185
Screenshot_2020-08-18-16-40-15.jpeg
 
Tanzania mpya, yn tunawarudisha home mabalozi wasiofanya kazi ipasavyo huyo apo PM, pia kuna kamstari nadhani kamjibu wanjala na wakora wenzake[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

Majaliwa, tutawarudisha nyumbali walioshindwa kutangaza utaliiView attachment 1541185
View attachment 1541186
Enzi zile wakiteuliwa kitu cha kwanza wanaenda kufanya shopping ughaibuni lakini sasa hivi wakiteuliwa direct ni kwenda kuanza kufanya kazi mara moja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thats exactly why I asked what they are called in TANZANIAN ENGLISH 😹😹. Kenyan English we refer to them as slums, that's why it's easy to search, find slums of Nairobi.

Tanzanian english and Kenyan english is like, say, UK and American english. They have different words for similar things.

So, I ask again, how do you guys refer to such?😹😹😹
Kenyan english!!!!??!!????!!????🤣😂😂😂😁😀😀😀🤣🤣
 
Back
Top Bottom