IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,701
- 10,161
unaongea as if Tanzania is ready 🤣🤣Mm since day 1 sikuunga mkono pamoja bid kwasabu nilijua kuna watu hawana huo uwezo zaidi ya kujipiga vifua mbele ya camera, kwanza hata kama Kenya wangekuwa na muscles za kuandaa Afcon lkn ukweli ni kwamba 2027 kwao kutakuwa na vita vya kisiasa, so hii michuano tunaweza tukaikosa kwa uzembe wetu wa kukubali ku host pamoja na hawa watu.
Hebu list ya stadiums ambazo zimechelewa nione