The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,543
Wallahi huyu mnyama kila nkimuangalia najisikia raha sn wallahi ebu Edward Wanjala hebu kuja huku uone.
Wallahi huyu mnyama kila nkimuangalia najisikia raha sn wallahi ebu Edward Wanjala hebu kuja huku uone.
Wallahi huyu mnyama kila nkimuangalia najisikia raha sn wallahi ebu Edward Wanjala hebu kuja huku uone.
Hii picha nlitaka kuipost hapa nkashangaa siioni dah thnx aisee.View attachment 1541420
Tujikumbushe kidogo
Wakenya wengi tu hawawezi kutamka herufi kwa ufasaha tena ninyi ndio wenye worst pronunciation problems zaidi ya waafrika woteMkenya hata akikosea lkn kila herufi anaitaja![]()
hahaha,pole sana,imeonekana umesahau na hii..Wakenya wengi tu hawawezi kutamka herufi kwa ufasaha tena ninyi ndio wenye worst pronunciation problems zaidi ya waafrika wote
Ngoma itakuwa tayari si unaona hapo inafanyiwa majaribioView attachment 1541454Hii ujenzi wake utaisha lini.
Watu wapi? Wangapi? 🚮🚮🚮hahaha,pole sana,imeonekana umesahau na hii..
Kenya rated second best in English fluency test
majority of you are like this 🚮🚮🚮🚮hahaha,pole sana,imeonekana umesahau na hii..
Kenya rated second best in English fluency test
Kwani wewe umeziona hizo slum
Only in Tanzania
Kenya igeni mfe
Inaonekana upo kwenye siku zako ndo maana unasumbua sanaIWE FUNZO. HAKUNA BATTLE HAPA.
wewe unayealika watu kwa kusema"KUJENI"Mkenya hata akikosea lkn kila herufi anaitaja![]()
Alafu hapo alikuwa chato akihutubia kwa Kiswahili 🇹🇿 wale majirani wanaopiga kelele na Kenyan vs Tanzanian English,wacha waendelee.😀😀Huwezi amini mpaka saivi bado anatrend
Cbd itakuwa moto SanaView attachment 1541420
Tujikumbushe kidogo
siku hzi wameingia na uonga huskii wakiongelea mambo ya GDP washajua kuna kaushuzi ndani yake 😀😀😀walipo wanaogopa hata kuhakiki uchumi wao maana unaweza kuta ukweli ni tofauti sana
Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
Hii co Mv mwanza mkuu hii ni mv Victoria.SoonNgoma itakuwa tayari si unaona hapo inafanyiwa majaribioView attachment 1541454View attachment 1541455
Goodluck on your ignoranceAcha ujinga dogo hakuna tanzanian english wala kenyan english,mbona mnakuwa wajinga hivyo,huko shuleni ndo mnafunzwa hayo matakataka..kenyan english!!!
majority of you are like this 🚮🚮🚮🚮