asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
Haha come again? Usilazimishe waKenya kufuatilia TZ. HAHAHAKati ya mtanzania nani mkenya anaongoza kufuatilia mambo ya mwenzie? Nimewahi sikia Samata ni mkenya, Magufuri, Mt Kilimanjaro iko kenya, Tanzanite, Diamond Platnumz, Olduvai gorge... na mengine kibao, nitajie japo kitu kimoja mbongo alifuatilia kuhusu kenya na hata akaclaim ni chake [emoji23][emoji23][emoji23]