Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
acha ushamba tembea ujioneee,,,,,,Hata kwa mbinde sipandi, hapo si ukitoka unanuka ushuzi..
Kumbe akina ndinda huingia na kunikishiana vikwapa
.
masuala ya population kubwa kwenye vyombo vya usafiri ni vitu vya kawaida tu hasa mida ya asubuhi na jioni...
hali kama hii ipo kila taifa ukitaka kujiachia kwa mida kama hiyo kuwa kwenye usafiri wako......

