Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ummy Mwalimu aingilie Kati hapa. Hatutaki shutumu za kijinga. JPM alipinga matumizi ya imported masks. Akasema kila mtu atengeneze za kwake.
Hawa jamaa,kila kitu kibaya kikitokea kwao,wanataka waiunganishe na Tanzania,Kwanza hizo mask zilipitaje kuingia Tanzania wakati huwa zipo kwenye vifungashio vikubwa? Yaani huu ni uchafuzi wa nchi yetu,ntamshangaa Kama balozi wetu atalinyamazia hili.
 
Hii ni hujuma kubwa ambavyo mpaka sasa nategemea kuskia atua za balozi wetu wa Kenya...hatuwezi kuchafuana hivyo...wanajaribu kuonyesha uwepo wa corona TZ ama pia wanataka kutuchafua kwamba tunahusika na Ufisadi ulioko kwenye nchi yao...hii ni kusema tunaifanyia serikali yao hujuma.....Nategemea kumskia Balozi wetu leo.

hawa wapuuzi sana! sijui protocol za kiubalozi, lkn mtu dizain ya Makonda angefaa sana kuwa balozi wa TZ huko kenya.. huyu ndo size yao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utasikia Kenya Ina Elimu nzuri kuliko Tanzania issue ya Albino tu,imekutoa jasho physics utaweza wewe😂😂 kumbe Hawa dawa yao kuanzisha uzi wa masomo tu tujue vilaza humu

Kenya iko na best education system, they speak "good English" in their mothers tongue than any nation in E.A. 😂😂😂😂
 
endelea na akili hizo hizo, wenzako wananeemeka na pesa za WB na IMF huku nyie mnalia njaa..

ila polen sana wakenya wote kwa jinsi Uhuru anavyoifanya Kenya shamba la bibi yake
Mtanzania mwenzako huyo
 
hawa wapuuzi sana! sijui protocol za kiubalozi, lkn mtu dizain ya Makonda angefaa sana kuwa balozi wa TZ huko kenya.. huyu ndo size yao [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]huyo angewafaa saana.
 
hawa wapuuzi sana! sijui protocol za kiubalozi, lkn mtu dizain ya Makonda angefaa sana kuwa balozi wa TZ huko kenya.. huyu ndo size yao [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]angeshawazingua kitambo.......
 
hii ni kampuni ya kenya inatengeneza pilot boats..
boats zenyewe ndo zinatengenezwa hiv [emoji23][emoji23] hata fundi garage anaweza kutengeneza [emoji23]
IMG_1597659430.071688.jpg

IMG_1597659447.896089.jpg
IMG_1597659455.032118.jpg
IMG_1597659462.035288.jpg
 
Back
Top Bottom