NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Noma sana dah najiona nimekaa hapo bila cost yeyote Thank you NDINDA.Kali
Mkuu hapa ni pale Holiday inn helipad Beer Garden pale rooftop, ukiwa na muda unapita pale kusafisha macho mjini.
Noma sana dah najiona nimekaa hapo bila cost yeyote Thank you NDINDA.Kali
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].aiseeeHuwa wanasema hatuongei na **** , tunaongea na mwenye **** ndio anaongea hapo[emoji23].
View attachment 1523919
Kabisa mkuu the view iko on point!!!!!Nitakwenda kula bia hapo!!!!!!Mkuu hapa ni pale Holiday inn helipad Beer Garden pale rooftop, ukiwa na muda unapita pale kusafisha macho mjini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi mnakumbuka Rescue Ugali Mission?
View attachment 1523686
View attachment 1523687
View attachment 1523688
.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi mnakumbuka Rescue Ugali Mission?
View attachment 1523686
View attachment 1523687
View attachment 1523688
Wajua Bongo kuna architecture nzuri kwa building kadha. Ila mpangilio hakuna. Kama hapa. Ona Morocco Square, ona barabara nzuri, lakini hebu angalia kandokando. Nairobi yaweza kuwa na Slum lakini zina mahali pake sio kila sehemu ilivyo DarHii ndio ile uswaz ya ubungo, ilala, na kijito nyama respectively[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382]View attachment 1523440View attachment 1523442View attachment 1523443View attachment 1523444View attachment 1523447
Naona Tanzania kumedamshi
Hehehe!!yani kitu ambacho nyangau hapendi ni kujitekenya ili aingie forbes..Km ndo hvyo basi Tz ndo usiguse kabisa kuna matajiri hata 5 bora hawamo humu Tz lkn wanapesa mara 10 ya Mo ambaye ndiye tajiri wenu EA.
Nani kakwambia kenya kulikua na lockdowni got this comment somewhere in this forum &
it’s true
Halafu Uhuru na serikali yake wana copy hatua zote za U.K za kupambana na Covid 19.
U.K walipo weka Lockdown na Kenya nao wakafata mkumbo. Walipoondo lockdown na Kenya nao wakafuata. Sasa hivi UK wapo kwenye mgogoro na Spain kuhusu quarantine na travel ban, Kenya nao wame copy.
Kenya wapo obsess na UK kama mademu wao walivyo obsess na vibabu vya kizungu!
Hii picha ni ya zamani. Kando kando kwa sasa kuna road expansion inaendelea. Kuna space pia itaachwa kwa ajili ya kujenga pillars za Dar Metro 🚋Wajua Bongo kuna architecture nzuri kwa building kadha. Ila mpangilio hakuna. Kama hapa. Ona Morocco Square, ona barabara nzuri, lakini hebu angalia kandokando. Nairobi yaweza kuwa na Slum lakini zina mahali pake sio kila sehemu ilivyo Dar
View attachment 1523968
Imagine road trip hapo🤩MTWARA MIKINDANIView attachment 1523977
Km vile moh dewiji[emoji23][emoji23]Nyie ni maskini sanaaa....matajir wenu ni wageni ndio wengi....sasa mtafua dafu Tz ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pale mtanzania anapotafuta attention ili naye aonekane anajua kutema facts mbele ya wakenyaUna uhakika gani km mm sie, hujui km Tz ndo pekee tuna dollar billionaire ukanda huu? Je km mm ndie huyo billionaire mwenyewe? Swali km hilo nkuulize ww mana kwenu hakuna possibility yyte ya kuwa na billionaire.
If you managed to notice Jimmy wanjigi was a billionaire why can't anybody Elses' The truth is that you can't hide your weath_ From the Cash you put in a bank or an assets you own, when you're a billionaire you must have some really performing businesses in the market and people would start recognizing you from there_Hehehe!!yani kitu ambacho nyangau hapendi ni kujitekenya ili aingie forbes..
Kw mfano tu, nenda katika jaribu la forbes uone km utamkuta jimmy wanjigi