Mzururaji Tanzania
Member
- Jul 3, 2020
- 94
- 376
Sasa Hzo Ni Slum? We VpWajua Bongo kuna architecture nzuri kwa building kadha. Ila mpangilio hakuna. Kama hapa. Ona Morocco Square, ona barabara nzuri, lakini hebu angalia kandokando. Nairobi yaweza kuwa na Slum lakini zina mahali pake sio kila sehemu ilivyo Dar
View attachment 1523968





