Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kawawa road
images.jpeg
 
Hii picha ni ya zamani. Kando kando kwa sasa kuna road expansion inaendelea. Kuna space pia itaachwa kwa ajili ya kujenga pillars za Dar Metro 🚋View attachment 1524026
Hiyo picha sio zamani vile. Tena nilikuwa naitoa kama mfano ambapo majumba mazuri kama hili hujengwa katika ya eneo la kushangaza.
IMG_20200729_195020.jpg

Lakini ukichukua picha kwa mbali huonekana vizuri. Kama hivi
IMG_20200729_201135.jpg


Lakini ukweli ni kama hivi
IMG_20200729_195152.jpg
 
Back
Top Bottom