tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Kwani nani anawahitaji?Mtangoja sana, tushawaonesha hatuwaitaji so tuli expect haya yote, wakenya si wajinga
Kwani nani anawahitaji?Mtangoja sana, tushawaonesha hatuwaitaji so tuli expect haya yote, wakenya si wajinga
elimu ya kenya si kitu hawajui kabisa kucheza na mind set za watu......Mkuu na kuhusu KQ 255 ilikua ina subili wajichanganye haiwezeka Tz waje 19× a week afu kwao tuambulie patupu me naona kazi ndio imeanza wameingia mkenge wenyewe.

Mngekua hamtuhitaji izo ndege zilikua zinafuata nn bongoMtangoja sana, tushawaonesha hatuwaitaji so tuli expect haya yote, wakenya si wajinga

chapeni route za kisumu na eldoret zaidiKumbe imekuuma, ukwel waujua lkn kuumeza ngumuwe kichuna wangwe,,,hebu nitajie basi hao millionaires na billionares 3000+ wa kikenya walio hide...
nakungojea mamaa
Akili za saint kayumba hzoHayo ni majengo 18 tu Nairobi yote inamajengo ya gorofa juu ya gorofa 6 yasiyo zidi 80 kama mnabisha leteni picha tu hesabu.
Kama hiyo picha ni magorofa 18 huki zidisha × 5 = majengo yote ya Nairobi juu ya gorofa 6 wakati dar ina majengo juu ya gorofa 6 zaidi ya 500



KariakooNi aibu snaaa mko hapa na kelel zote ila K/koo tu inawahenyesha.. .na hamna uwezo wa kuilipa...ndio mjue Tz ikoje na mind you ...hiyo k/koo inamilikiw na waswahili wenyew



Mtajua hamjui, kwani wataali wengi kutoka Europe na US lazima wapitie kenya kuenda tanzania, watu wa mapadlocks mtajipangaMngekua hamtuhitaji izo ndege zilikua zinafuata nn bongochapeni route za kisumu na eldoret zaidi
kama hiyo sky team alliance partnership inaimiliki Tsnzania sawa,ila kama sivyo endeleeni kujipa moyo....Hahahaha, bado, KQ can still use sky team alliance partnership to circumvent this,,,bado tutaingia tanzania,




Kulingana na jarida la forbes, ww hujui km kuna watu wana hela lkn forbes haiwatambuiUna uhakika gani km mm sie, hujui km Tz ndo pekee tuna dollar billionaire ukanda huu? Je km mm ndie huyo billionaire mwenyewe? Swali km hilo nkuulize ww mana kwenu hakuna possibility yyte ya kuwa na billionaire.
siujui mamaa,ndiyo maana nahitaji unijuzeKumbe imekuuma, ukwel waujua lkn kuumeza ngumu
Ila umeenda mbali sana mkuu, atuoneshe hata towers za BOT Posta au kituo hata kimoja cha BRT KariakooWalioshajaribu wenzako,wakalala mbele.
Embu nionueshe moroco and the whole kinondoni katika hiyo picha..
Fanya haraka.
Kwanza ukizungumza kwa USD Millionaires na Billionaires waliojificha wengi ndio Watanzania, mfano halisi ni Laizer alieanza kujenga mole ya $2.5 M tokea 2016 ndo amekuja kutambulika baada ya kupata yale mawe ya Tanzanitewe kichuna wangwe,,,hebu nitajie basi hao millionaires na billionares 3000+ wa kikenya walio hide...
nakungojea mamaa
Mwana kulitafuta mwana 😁 😁 kulia yeyeHuu ndio uanaume
Yaani we acha tu, Mungu aibariki Tanzania iweze kufaidisha resources zake kwa wananchi wake na sio mabeberu yanayojificha kenya na kuitumia kenya kama njiayani nimefurahi sana 👏👏👏👏👏
Km ndo hvyo basi Tz ndo usiguse kabisa kuna matajiri hata 5 bora hawamo humu Tz lkn wanapesa mara 10 ya Mo ambaye ndiye tajiri wenu EA.Kulingana na jarida la forbes, ww hujui km kuna watu wana hela lkn forbes haiwatambui
sasa wakitafuta muafaka wa hili lazima na Atcl liingizwe ktk mjadala.asante TanzaniaUnajua magu hii kQ alikuwa haipendi sema basi tu alikuwa anashindwa afanyeje,sasa kapata sababu
Alikataa ku sign?
Asee makenya yamejazana huku kwao hospital hakuna sijuiHii hadi mipakani msumbiji watakua wanaenda kutibiwa mtwara kama ilivo kwa wakenya wanavoenda Arusha na Kilmanjaro
Hata Tz haiwahitaji , uchumi wenu kukua umechangiwa saaana na resources za Tz eg,madini,mazao nk.Mtangoja sana, tushawaonesha hatuwaitaji so tuli expect haya yote, wakenya si wajinga