Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
Wewe huoni kwamba hivyo ni vifusi!? Kulikuwa na nyumba ndogo kando na hizo post za umeme lililoangushwa. Amevitumia tu kujaza mabonde kwenye hiyo road reserve. Kutakuwa sawa tu baadaye wakifanya landscapingTOWER INATAKA KUAMKAAAAAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, Sawa Mkuu Wanjala , sasa hapa kuna nini ambayo imekua Demolished. ( Ukiangalia hayo majani pembeni hamna dalili yoyote kama kulikua na structure yoyote hapo. BTW, Kwa majibu haya Tunajifunza mengi sana .
View attachment 1518394