Najua uliangaik kuangali km utakut related buildingEti kijitonyama iwe CBD,hahaha,tens ilala hamna kitu,ile tu picha moja ya background ya kariakoo huwa tana pangaizwa nayo eti ilala,hahaha




sorry for that i dont cheat if we dont have that's it....real simple i just show eactly found in Dar es salaam...kama imekuma nenda kalete zile estate zenu ujitulize ...






I see now you are consuming new details about Dissim so your in denial stage ,its ok with time you will be ok...Mtoto wa mbagala huyu,hahaha







Huu ni mkopo auuNoma (hii inajenga SGR makutupora hadi mwanza)...
ila Africa hatuna budi tubadilike, ukisoma comments, raia wengi wanalalamika hela zitaliwa na wanasiasa
Hizi hela za corona zina ujinga mwingi sana.nchi imemfia maskini
Na HAKIKA, wakati ni huu.asante nyingi kwa JPMHaya ndiyo mambo tuliyokuwa tunataka, tutawale kuanzia ardhini mpk angani, raha sn![]()
na mbona isiwe yeye kuambukizwa?ila nimejiuliza au nina wasiwasi... mtu katoka nje ya nchi (zenye corona) ila amejimuhisha moja kwa moja na watanzania, what if amepata corona on the flight or on the way in between then akawaambukiza.. hapo tu ndo nina wasiwasi!
nadhan hujaelewa.. unaweza kuwa na corona na isionyeshe dalili kwako, ila utakayemuambukiza anaweza kuonyesha dalili after a few no of days
anyway achana nayo.. wasiwasi ni mtu kutoka nje then immediately anajumuika na kundi kubwa la watu.. kujumuika na kundi kama familia sio shida... shida ni ile kundi la watu weng sana
South nayo hovyoNoma (hii inajenga SGR makutupora hadi mwanza)...
ila Africa hatuna budi tubadilike, ukisoma comments, raia wengi wanalalamika hela zitaliwa na wanasiasa



Umeona enhee. ..!South nayo hovyo
..Rushwa haikuwa Zuma tuu..hata huyu nae ni mle mle.....Thabo Mbeki atabaki kuwa ndie kiongozi bora kuwahi kutokea SA.
Reserved United Nations Development Area ( Runda ) hilo ni eneo la UN wanaoshuhulikia mambo ya mazingira nafkiri limeanza kujengwa muda sana, Mkenya hapo hana chake wala hawezi kujisifia kwmba anaweza kununua nyumba aishi humoHaya ndio mambo mnafaa kutuonyesha kwa sasa, Pako sawa Kabisa![]()




wakenya bhana kwa ubunifu wapo vizuri kweli kweli. ......nimewavulia kofia hadi nyweleNaona umedondoshea "Tripple equal" hapo.CCR = certificate aliyopata within a specified time frame & pass of thermal scanner test === No 14 days self isolation,
ELSE
unavutwa chemba kwa maelezo zaidi🙂
Tena mi naona bora Zuma angalau alikuwa mpiganaji wa kweli, huyu wa sasa yuko kama Njonjo.South nayo hovyo
..Rushwa haikuwa Zuma tuu..hata huyu nae ni mle mle.....Thabo Mbeki atabaki kuwa ndie kiongozi bora kuwahi kutokea SA.
Urais ni kipaji km huna ukiingia tu kabla hujafanya chochote watu wanakukataa na mambo hayaendi mpk unatoka, muulize jirani anaelewa vizuri hili somoTena mi naona bora Zuma angalau alikuwa mpiganaji wa kweli, huyu wa sasa yuko kama Njonjo.


