Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mandela alisafiri kuja Zambia na Tanzania kupata veto ya Kenneth Kaunda na Julius Nyerere kuhusu ni nani sahihi kumuachia Madaraka na uongozi wa ANC kati ya Cyril Ramaphosa na Thabo Mbeki, both Nyerere na Kaunda walimpa Mbeki.

Ipo kwenye books.
Cha ajabu South Africans wakaiga Kenya ukabila na ghafla Zuma akampindua kabla Zuma hajakaa vizuri Ramaphosa akampindua Zuma na nahisi Ramaphosa hatakaa sana!
 
BD361837-9887-4BB6-B5C2-668A88C07784.jpeg
C8193A0F-4C6E-4429-967C-AE4A11180D4E.jpeg
C145A21F-35C7-46B7-BAB7-502214987DD2.jpeg
 
Cha ajabu South Africans wakaiga Kenya ukabila na ghafla Zuma akampindua kabla Zuma hajakaa vizuri Ramaphosa akampindua Zuma na nahisi Ramaphosa hatakaa sana!
Kuna hiyo familia ya Guptas na Oppenheimer wao ndio ma architecture wa Rushwa SA,wame corupt ANC yote.na yote haya ni maslahi ya mtu mweupe na ku mproof wrong mwafrica kwenye mambo ya uongozi.....mpaka kufikia mwaka wa 92 Ndani ya ANC kulikuwa kumebaki vingozi wawili tuu Thabo Mbeki Na Chriss Hani.
 
Inaonekana news za Tanzania zinapendwa sana Kenya, mbona hii ni habari ndogo sana kwa vyombo vya habari vya nchi jirani kuirusha?
Mimi nafrah kwa sababu inaelekea sasa baada ya kuona kwamba utamaduni wa mabeberu sio saizi yao,wanageukia utamaduni wetu,kwa hiyo culture yetu inapanuka...ukikaa na kufatilia utakuja kuona kwamba kuna namna tuna wa influence sana kwenye maswala km namna Nchi yetu inavyoongozwa,Music wetu,,chakula chetu,mavazi yetu..lugha yetu,,life style yetu, nk......miaka kadhaa ijayo tutakuwa tuna watawala.
 
Back
Top Bottom