Mzururaji Tanzania
Member
- Jul 3, 2020
- 94
- 376
Marekebisho Yake Makubwa Ndio MaanaHii road mbn haiishi why?
Marekebisho Yake Makubwa Ndio MaanaHii road mbn haiishi why?
kilwa road karibia na kurasiniHii ndo ile ya Mbagala?
muovu nani kwani ww unajiona msafi ??? mwisho wako unaujua utakuaje toa mawazo machafu kichwanimwovu akianguka ni nafuu kwa mwenye haki,hata kama sio sherehe lakini hili lipo
Nmecheka SnaHii ni mbolea mnataka kupanda Maua au temporary dump [emoji23]. Hapo pembeni.
Barabara hiyo nzuri, lakini sisi tulikua tunaongelea Sura ya Eneo lenu muhimu ( Around BRITAM, KCB tower and UAP) Tena wewe hapo kuna mwaka ulisema nyaya zote hapo Upper Hili zitakua Underground. Hadi leo spider web kama kawa.
BTW Hiyo si Thika Highway?
View attachment 1518044
View attachment 1518045
Huna cha kuniambia upperhill ni uchafu ...from the scratch [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji1787][emoji1787]Endelea kujitahidi kujitoa ufahamu, ytafanikiwa tu
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Niache kwanza nimpokee mtetezi wa haki za wanyonge,Lisu nitakuja kukujibumuovu nani kwani ww unajiona msafi ??? mwisho wako unaujua utakuaje toa mawazo machafu kichwani
Tena Generation ya Mwaka 1970 [emoji23][emoji23][emoji23]Isuzu injection dah majiran wako nyuma sana asee . hii midubwana huwezi ikuta hukuu wao iko CBD inoiga kaziii kabisaaa duhhhView attachment 1518106
Umempatia kinoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatimaye Tundu Lissu amerejea nyumbani, na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu amefika salama inshallah.
Lengo langu hapa co kuripoti ujio wa Tundu Lissu la hasha bali ni kuwaonesha Wakenya na dunia kwa ujumla jinsi gani mazingira ya Tz yalivyo ya kuvutia lkn pia kuwaonesha kwamba Tz hakuna corona, angalia hata viongozi wa upinzani waliokuwa wakipiga kelele za lockdown nao pia leo hawajavaa barakoa, hata Lissu mwenyewe hajavaa barakoa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
Cc: Zigi Rizla Nicxie mwaswast Edward Wanjala komora096 Teargass
Nadhani utata umeisha ss, nyie endeleeni kupambana na corona ila mcpambane na taifa teule [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahhaha kwenu simapimbi ukwel unawauma....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382].....jiandae kumia sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23] best stima connection at upperhill[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kujitahidi kujitoa ufahamu, ytafanikiwa tu
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kawaida yao hyo, yani huaga hawathubutu kabisa..Hahaha,wapoko wakiona wamechapwa knockout hawawezi ongea,huwa wanapita kimyakimya,shhhhhhhh,ahahahaha
Please Look this, [emoji1241]hali halisi ya CBD haki ya nani hawa watu ukisikia wakijisifu unaeza sema wapo europe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1518141View attachment 1518142
Hahahhaha inaonekan hii kipigo hukuwai ipata mpaka unaleta kumbukizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]pole ...walikuw hawakupi ile kitu unapaswaHahaaa!!hapa umefika, wamekuja wengi zaidi yako lkn wakadunda...
Tafuta lingine la kujitoa ufahamu tena, nakusubiriria
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Umeona mambo magum unatafut pakutokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382] kwaiyo ilala ndio umeona kaslope....pimbi ni pimbi tu
Wababe wa social media ukanda huu ni Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chang'aa unazotumia si nzuri....zimekufanya uwe na low IQTofauti ya hapa na Eastleigh ni nini?
View attachment 1518092