Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hali halisi ya CBD haki ya nani hawa watu ukisikia wakijisifu unaeza sema wapo europe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
D18CDFFD-EC29-4339-8676-8E9D2CEA951F.jpeg
D2F6BDDB-5D5D-42F8-BF4E-2D1EB28075AD.jpeg
 
Hii ni mbolea mnataka kupanda Maua au temporary dump . Hapo pembeni.

Barabara hiyo nzuri, lakini sisi tulikua tunaongelea Sura ya Eneo lenu muhimu ( Around BRITAM, KCB tower and UAP) Tena wewe hapo kuna mwaka ulisema nyaya zote hapo Upper Hili zitakua Underground. Hadi leo spider web kama kawa.

BTW Hiyo si Thika Highway?

View attachment 1518044
View attachment 1518045
Hapo ni demolition kuna Tower inataka kuamka hapo
 
Wacha ujinga iyo ni slum akuna jipyaa apo niushuz wa bata kuanzia iyo miwaya ya umeme km imewekwa na chizi,slums hakuna sidewalks...uchafu mtupumnakuja apa nyenyenye km ww umetimia correct me with onother picture ...iliyo ondoa vyote hivi...nifung jfView attachment 1517935View attachment 1517934View attachment 1517932View attachment 1517936View attachment 1517937View attachment 1517933View attachment 1517938
View attachment 1517939View attachment 1517940View attachment 1517941
Barabara za Upperhill zote sahi zimepakwa rangi. Jitulize na 2012. Lakini haina shida kujifariji. Wacha tuseme iko hivyo. Wabongo kweli akili zenu za kitoto sana. No wonder mko nyuma huku mkiwa na mali asili tele
 
Wabongo hupenda kujifariji. Using photos during construction. Halafu kung'ang'ania eti. Hayo mabati ni perimeter ya construction. Na kibanda cha wauza chips kwa hao mafundi.

Sasa hapo mahali Upperhill kunakaa hivi
View attachment 1517874
Barabara nyingi sahi zinakamilika Upperhill.
View attachment 1517875
It has taken only 4 years to bring a Sandton competitor from scratch.

Ukiachilia UAP, Prism tower , BRITAM, I mean ukitoa hayo majengo marefu . Kipi kingine mnaishinda au mmekaribiana na Sandton?

Maana inategemeana na Point flani of View.
 
Barabara za Upperhill zote sahi zimepakwa rangi. Jitulize na 2012. Lakini haina shida kujifariji. Wacha tuseme iko hivyo. Wabongo kweli akili zenu za kitoto sana. No wonder mko nyuma huku mkiwa na mali asili tele
Funga bakuli pita kulee....maneno yako pelekae pimbi wenzio ....unajib fact kwa manenoslum ....
Ndio rangi izi..ulimanisha?...watembea kwa miguu wanapita njia moja n magari.... ujinga mtupu
Screenshot_20200727-073024.jpg
 
Mazeee!!yani hadi nashangaa, eti kisa ni yale mabati yaliyoviringwa na zile road side shops ndio wanajitetea ili wapoteze mada ya miundombinu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Miundombinu gani unazungumzia we popoma wakati tunaona video kabisa CBD haina hata sidewalks??!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Au hujui miundombinu ni nini?!..miundombinu ni pamoja na sidewalks
 
Hii ni mbolea mnataka kupanda Maua au temporary dump . Hapo pembeni.

Barabara hiyo nzuri, lakini sisi tulikua tunaongelea Sura ya Eneo lenu muhimu ( Around BRITAM, KCB tower and UAP) Tena wewe hapo kuna mwaka ulisema nyaya zote hapo Upper Hili zitakua Underground. Hadi leo spider web kama kawa.

BTW Hiyo si Thika Highway?

View attachment 1518044
View attachment 1518045
Duh ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ dampo hadi CBD?!!..aaah wakenya hamuwezani na dar,mkae nayo mbali
 
Ukiachilia UAP, Prism tower , BRITAM, I mean ukitoa hayo majengo marefu . Kipi kingine mnaishinda au mmekaribiana na Sandton?

Maana inategemeana na Point flani of View.
Umesahau kuachilia,kcb tower,4th ngong tower,upper hill chambers tower,Nssf towers,Rahimtula towers,wb towers etc,
 
mikia ya mkwere mnajisikiaje mnavoona juhudi alizofanya Mkapa kuiweka TZ on track only to be chewed by you barbarians. Now atawatokea moja baada ya mwingine kwa kuslow down juhudi zake. "LALA KWA AMANI BURIANI RAISI MSTAAFU WA AWAMU YA TATU"
Baada ya Nyerer rais mwingine atakayetikisa kwa kifo ni JK tu ,hawa wengine watu hatuna habari nao.Yaani msiba huu hadi wa Ruge ni ulikuwa mkubwa
 
Back
Top Bottom