Kijana,, Bado unazidii kujikuna matako,, ukweli unauma,density yenyewe ndio hii😂😂😂😂 wanjala punguza ufala aisee
Kijana,, Bado unazidii kujikuna matako,, ukweli unauma,density yenyewe ndio hii😂😂😂😂 wanjala punguza ufala aisee



yani nimecheka sana kuona ushuzi 😂😂 acheni utani msikieni ndugu yenu👇👇Kijana,, Bado unazidii kujikuna matako,, ukweli unauma,
Wapigaji wa kenya wanataka kupiga pesa kupitia jina la Tz km kawaida yaoInayotumika na iliyothibitishwa na serikali ni NIMRICAF sijajua hii wameitoa wapi
Au labda hii ni zile za mitaani watu walizojitengezea wenyewe kwa ajili ya tiba.



Hii nimefuatilia inaitwa Baycaro ilitengenezwa kibaha,Wapigaji wa kenya wanataka kupiga pesa kupitia jina la Tz km kawaida yao![]()
Ndio naamini,uchaguzi ukiwa huru na haki atashinda uchaguzi kiulaini kabisa,pamoja na mtu wenu kuvunja watu miguu,kupiga risasi ,kufungulia kesi ,kununua wapinzani nk nk lakini jana umejionea mwenyewe kwamba cdm haitakaa ife hata jiwe apige sarakasi gani na hata ajitukuze na kutukuzwa vipi hakubaliki anasalia kuwa mtu katili kuwahi tokea Tzn kama unabisha subiri uone kampeni zianze,ile jana ni trailer tuHivi unadhani lisu anaweza kuwa raisi,na una amini kabisa. ..aisee kuna watu hapa duniani wanaishi tu ilinradi siku ziende,siku ukikua utajua hii nchi ipoje
Sikukuti wewe kwa sababu nina shida na wewe,noo..nakukoti contents zako ili kuweka sawa hutaki fanya unachoweza,hata mpiga pambio mwenzako the best alisema hivi hivi na nikamjibu kama weweAlaf usiwe unaniquote mim maana wew umekaa kisiasa tu sis hatuko huko postive na negative tunaziongea ila sio kisiasa
kokote zinakotokea wewe ambaye ni Magu mbona hujisemi?hahahaha kumbe ushuzi unaongea hapa sababu ni lisu 😂😂😂 hata usihangaike kujibu maana nishaelewa wapi akili zako zinatokea
Hanisi kabisa huyu mlevi
Amemezwa na JPM anajaribu kujichocha.
Ulevi unamwendesha,anajua sie tunaongozwa na tumbaku...Pumbu afu!
Pole sanaNdio naamini,uchaguzi ukiwa huru na haki atashinda uchaguzi kiulaini kabisa,pamoja na mtu wenu kuvunja watu miguu,kupiga risasi ,kufungulia kesi ,kununua wapinzani nk nk lakini jana umejionea mwenyewe kwamba cdm haitakaa ife hata jiwe apige sarakasi gani na hata ajitukuze na kutukuzwa vipi hakubaliki anasalia kuwa mtu katili kuwahi tokea Tzn kama unabisha subiri uone kampeni zianze,ile jana ni trailer tu
Mkopo mwingine upo njiani ,ongezeni takwimu
Huyu anabishana kule twitter badala atumie jiji lao eti anatumia jiji la Dar es salaam.
Km huna hoja tulia tu..usi force vituMaumiv yakizid unaruhusiwa kukimbiana upperhill ushuzi .... headless never tell me nothing
![]()
Pakutokea wapi na wakati una act km mtoto mdogo..Mkiona hamna pakutokea km panya kweny mlango ....vilio vinaruhusiwa... hamna ubavu wa kuitikisa Dar pimbi nyie....
Hzo emojis, atakua jamaa wake wa karibuAkili huna, naona wewe ni yule yule Ichoboy na akaunti nyingine. Kama siye basi wabongo hamna hongo.
View attachment 1519110
Halfside walks ndio nini tena jamaniUnangaik n uyu pimbi hana cha msingi analet barabara yenye halfside walks na hakuonekani km hata wanampango wakuweka upande wapili...ndio ishindane na sandton....bure kabisa awaaa
![]()