Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pole sana, tanzania vs kibera[emoji122][emoji122]
Umeonyesha uzaifu snaaaa ....usijarbu kujipima na heavy weight km DSM....bakini na Jiidiiipiii yenu for meantime....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Upanga, cbd, kariakoo, ilala hamna kitu zaidi ya hapo unaweza weka jf
Usije na akil za kitot kwang ...niambie tu unahitaj kuona maeneo mengine zaid ya hayo...na nipo hapa kukupa bilashaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]chukua hizi kinondoni,Ubungo na futurelistic CBD kijito nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382]
JamiiForums299753569.jpg
JamiiForums317525115.jpg
Screenshot_20200726-125322.jpg
JamiiForums1056340583.jpg
JamiiForums-985501763.jpg
JamiiForums1966626390.jpg
 
Huna hadhi ya kujadili mada na watu na akili zao
Nikajua ww kumbe unajitoa akili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pumba huna point ....ukionamaumiv yamezid kukimbia unaruhusiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Rudi kijiweni ukapige soga, huna hoja kazi kujitoa ufahamu tu..
Zero brain wa jf
Maumiv yakizid unaruhusiwa kukimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] na upperhill ushuzi .... headless never tell me nothing[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hatimaye Tundu Lissu amerejea nyumbani, na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu amefika salama inshallah.

Lengo langu hapa co kuripoti ujio wa Tundu Lissu la hasha bali ni kuwaonesha Wakenya na dunia kwa ujumla jinsi gani mazingira ya Tz yalivyo ya kuvutia lkn pia kuwaonesha kwamba Tz hakuna corona, angalia hata viongozi wa upinzani waliokuwa wakipiga kelele za lockdown nao pia leo hawajavaa barakoa, hata Lissu mwenyewe hajavaa barakoa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]



Cc: Zigi Rizla Nicxie mwaswast Edward Wanjala komora096 Teargass

Nadhani utata umeisha ss, nyie endeleeni kupambana na corona ila mcpambane na taifa teule [emoji3][emoji3][emoji3]


ila nimejiuliza au nina wasiwasi... mtu katoka nje ya nchi (zenye corona) ila amejimuhisha moja kwa moja na watanzania, what if amepata corona on the flight or on the way in between then akawaambukiza.. hapo tu ndo nina wasiwasi!
 
ila nimejiuliza au nina wasiwasi... mtu katoka nje ya nchi (zenye corona) ila amejimuhisha moja kwa moja na watanzania, what if amepata corona on the flight or on the way in between then akawaambukiza.. hapo tu ndo nina wasiwasi!
Pale airport wasingemruhusu kupita kama ana huo ugonjwa au hata dalili tu.
 
sidhan kama airport wanapima.. wanaangalia certificate tu ya vipimo ambayo inakuwa invalid after 14 days... sasa what if amepata airport ya huko au ndan ya ndege
Wanapima, tena wako very strict, kuna overhead thermal scanners kabla ya kuvuka kwenda Immigration desks, joto lako likiwa juu hata Kama unayo certificate ya ulikotoka wanakuvuta pembeni for further measures.
 
Usije na akil za kitot kwang ...niambie tu unahitaj kuona maeneo mengine zaid ya hayo...na nipo hapa kukupa bilashaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]chukua hizi kinondoni,Ubungo na futurelistic CBD kijito nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382]View attachment 1518783View attachment 1518784View attachment 1518785View attachment 1518786View attachment 1518789View attachment 1518791
Eti kijitonyama iwe CBD,hahaha,tens ilala hamna kitu,ile tu picha moja ya background ya kariakoo huwa tana pangaizwa nayo eti ilala,hahaha
 
Wanapima, tena wako very strict, kuna overhead thermal scanners kabla ya kuvuka kwenda Immigration desks, joto lako likiwa juu hata Kama unayo certificate ya ulikotoka wanakuvuta pembeni for further measures.

nadhan hujaelewa.. unaweza kuwa na corona na isionyeshe dalili kwako, ila utakayemuambukiza anaweza kuonyesha dalili after a few no of days

anyway achana nayo.. wasiwasi ni mtu kutoka nje then immediately anajumuika na kundi kubwa la watu.. kujumuika na kundi kama familia sio shida... shida ni ile kundi la watu weng sana
 
Back
Top Bottom