Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Wanajua hawa huwa wanajitoa akili ...sasa we ngoja...tuwaonyesh mana alisi ya Das es salaam pimbi awaImagine hiyo sio Kariakoo yote , angalia Jengo la soko la Kariakoo mtaa wa Tandamti enedelea na hili eneo chini mpaka Gerezani. Halafu mchikichini haionekani hapo yote pia , I mean upande mwingine wa Msimbazi street kuelekea Jangwani.
View attachment 1516809