Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mi ningekuwa Rais wa nchi hii ningeondoa Anatoglo, Shule ya Mnazi Mmoja, hospitali ya Mnazi mmoja, Mahakama ya Mnazi moja na hata ile supermarket ya Bakwata kule mwisho . Ningewalipa fidia na kurudisha hii sehemu kuwa natural park! Hospitali ya mnazi mmoja ningeitafutia kiwanja upande wa Kkoo na kui-accomodate ndani ya 20 floor tower!

Shule ya Mnazi mmoja ningevunja shule za Primary za Uhuru na kisutu na kujenga hata shule za floor 4-5 na ku-accomodate wanafunzi wengi zaidi ikiwemo wa Mnazi mmoja! Zile shule za Uhuru na Mnazi mmoja ziko outdated only Mkapa High school and Al Muntazir deserve to remain there! Mji umepanuka inapaswa ku-accomodate modern structures with good planning!
Fact kwanza ingeongeza zaidi muonekano wa eneo la mnazi moja. Mji umekuwa snaaa unaitaji maboresho zaid pia , hata maeneo ya k/koo kuna nyumba zinaitaj kupakwa rangi nadhani kuu wa mkoa amefany uzembe katika hili.
 
Mbona unateseka sana na huu ushizi wa bataa ngoja nikusaidieee hiii apa mambasa yako sartisfied?.....kariakoo is here for dumb[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nairobary + mambasa=k/kooView attachment 1516596View attachment 1516597
Hahaha,hawataki kuamini hapa ni Mombasa, wataishi kuleta old town kwa kuogopa the new Mombasa kwa vile in kubwa kuliko kariakoo,hahaha
EYB-ZVNXgAECezW.jpeg
 
Hahaha,hawataki kuamini hapa ni Mombasa, wataishi kuleta old town kwa kuogopa the new Mombasa kwa vile in kubwa kuliko kariakoo,hahahaView attachment 1516657
Ivi hii inaogopwaje wakati hata barabara haina nikam hii tu....slum iliyo jegwa gorofa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viko sambamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji382].....alafu nusu ya K/KOO NI HIII[emoji116]...MSAIDIE MWENZIO KUTAFUTA KM MTAPATA HII UKO KENYA YOTE
Eneo limepangika likaeleweka mko na jidiipi hewaaa
JamiiForums2098980351.jpg
JamiiForums-1428114774.jpg
2407658_tapatalk_1588389991510.jpg
 
Back
Top Bottom