Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FB_IMG_15948133310520983.jpg
FB_IMG_15948133577227700.jpg
 
Tatizo lenu wakenya exposure zero. Nimekuambia Tsh wewe unaleta kelele.
Can you change 200,000Tsh to Ksh!?

Ni majanga. Mwambie afanye hivyo hivyo kwa Korean Won au Japanese Yen kama atanunua hata noodle moja

Angalia Hela yao haya wanachoweza kupata , na thamani hiyo hiyo Bongo anapata nini.

Usafiri, hata wakati wa Corona Nauli hazijapanda na Watu walitakiwa kukaa level Seat,
Mfano Mwendokasi ni 650 Tsh ambayo kwa Kenya ni KES

IMG_9880.jpg

Angalia Nauli za Matatu ni Mara 5 hadi Mara sita ya nauli ya mwendokasi Dar.

IMG_9881.jpg

Bado yupo hapa anasherehekea , what a loss !
 
We nawe bwabwa tu, tutolee upumbavu wako hapa senge wewe. Ni mkoa gani haukuwa umeunganishwa kwa lami au unataka magufuli abomoe barabara ajenge zingine unazozitaka wewe. Halafu kusimamia mhimili wa utanzania kufanya usenge wako ni ushoga.
Hujui chochote wewe mbuzi,mimi sio mpumbavu wa kuishi kwa kulamba matako ya watu kama wewe..kazi yako kulamba miguu ya waliokupa kazi ili uishi,huna uwezo wa kujisimamia lazima ujipendekeze,si ajabu huwa mnatukanwa hadharani mnainamisha vichwa chini kama nyumbu kwa sababu kula kwenu kunamtegemea mtu mnamsifia
Wewe ni poyoyo tuu huna unachojua zaidi ya kupayuka..ndo nakuambia sasa ujue kwamba wewe ni mjinga,barabara zifuatazo hazijakamilika kwa lami toka enzi za JK hadi sasa, Kagera-Kigoma ,Tabora-Kigoma,Mbeya-Tabora,Rukwa/Sumbawanga-Katavi-Kigoma,Katavi-Tabora,Ruvuma/Songea-Morogoro,,Njombe-Ifakara-Mikumi na Arusha-Musoma
Ona chati ifuatayo hapa chini kama unajua kusoma ramani maana naweza kuwa namuelimisha mpumbavu
 
Attachments

Yaani sumbawanga ujenge 6 lanes road,we chizi eeh!!!?

We ni mkenya,maana hakuna mtz anaweza akawa na akili mbovu kama zako
Huna akili we kiazi,kwa hiyo ukisikia dual carriage way unajua ni 6 lanes? huoni kwamba chizi ni wewe? punguza kula michembe na maharage ndio maana unakurupuka
 
Ni majanga. Mwambie afanye hivyo hivyo kwa Korean Won au Japanese Yen kama atanunua hata noodle moja

Angalia Hela yao haya wanachoweza kupata , na taani hiyo hiyo Bongo anapata nini.

Usafiri, hata wakati wa Corona Nauli hazijapanda na Watu walitakiwa kukaa level Seat,
Mfano Mwendokasi ni 650 Tsh ambayo kwa kwenye ni KES

View attachment 1507440

Angalia Nauli za Matatu ni Mara 5 hadi Mara sita ya nauli ya mwendokasi Dar.

View attachment 1507441

Bado yupo hapa anasherehekea , what a loss !
Nilimwambia uyu akili ndogo...anacha kuangalia uwezo wa iyo fedha kweny busket of goods n services anangalia numbers on note
 
What's the problem on that? That's an exchange rate you fool.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fala uyo hajui km mambo ni yaleyale kwa huku Afrika, kwa ulaya sawa mana kule dollar moja kwa mfano ni pesa mbuzi ila huku kwetu unakunywa chai lkn Afrika kwa Afrika mambo yaleyale tu mfano 100 ya kenya huku kwetu km 2000, lkn vitu utavyonunua kwa 100 ya kenya ndo vilevile utavyonunua kwa 2000 ya Tz tena kwa bahati mby pesa yetu ina purchasing power kubwa kuliko yao, so tshs 2000 ni zaidi ya kshs100.
 
majamaa tatizo wanajiona wapo juu wachoweza zaidi ni kupunguza idad ya note tu. atleast mtu wa mozambique angeongea
 
Ni majanga. Mwambie afanye hivyo hivyo kwa Korean Won au Japanese Yen kama atanunua hata noodle moja

Angalia Hela yao haya wanachoweza kupata , na thamani hiyo hiyo Bongo anapata nini.

Usafiri, hata wakati wa Corona Nauli hazijapanda na Watu walitakiwa kukaa level Seat,
Mfano Mwendokasi ni 650 Tsh ambayo kwa Kenya ni KES

View attachment 1507440

Angalia Nauli za Matatu ni Mara 5 hadi Mara sita ya nauli ya mwendokasi Dar.

View attachment 1507441

Bado yupo hapa anasherehekea , what a loss !
Aseee, hii ni nauli ya matatu kwa trip moja?, Bongo hiyo ni nauli ya wiki nzima.
 
Ni majanga. Mwambie afanye hivyo hivyo kwa Korean Won au Japanese Yen kama atanunua hata noodle moja

Angalia Hela yao haya wanachoweza kupata , na thamani hiyo hiyo Bongo anapata nini.

Usafiri, hata wakati wa Corona Nauli hazijapanda na Watu walitakiwa kukaa level Seat,
Mfano Mwendokasi ni 650 Tsh ambayo kwa Kenya ni KES

View attachment 1507440

Angalia Nauli za Matatu ni Mara 5 hadi Mara sita ya nauli ya mwendokasi Dar.

View attachment 1507441

Bado yupo hapa anasherehekea , what a loss !
Hku hatupangiani na mali ya mtu
 
Back
Top Bottom