Mzururaji Tanzania
Member
- Jul 3, 2020
- 94
- 376


Hiyo ni kutokana na ufujaji mkubwa wa pesa uliokua ukifanywa na wakurugenzi wa hizo taasisi, wengi walikua na uwezo wa kujipangia mishahara na matumizi ya anasa vile wapendavyo.Kabla ya Magu taasisi za umma na wakala zake zinazojitegemea zilikuwa na uwezo wa ku act kama sekta binafsi kwa kukusanya pesa zao na kuzitumia kwa miradi yao huki wakitoa gawio kwa serikali kuu na kutekeleza majukumu yao mengine
Saizi hawawezi tena ni mpaka serikali kuu iaprove kumbuka pesa zote zinaingia mfuko mkuu wa serikali yaani hazina,from there ndio matumizi yaanzia sasa inakua ngumu kuwekeza kama sekta binafsi ndio maana miradi mingi ya nssf imekwama kama mzizima tower nk na hata hakuna miradi mingine hasa ya majengo ya maana..Hili jengo najua ni mali ya ppf ambayo imekufa saizi sijui liko kwa psssf au nsssf
Huwezi kujenga miji yote kwa Mara moja, sasa hivi ni Dar na Dodoma, wakati huo huo barabara za kuunganisha mikoa na Wilaya zinaendelea, tukimaliza huko ni zamu ya Arusha na Mwanza. Kenya kamwe usiwasifie katika hili, priorities zao ni za ajabu sana, Kenya watu wanakufa kwa njaa kila mwaka, wanategemea Chakula cha msaada, lakini Serikali ipo busy kukopa mapesa mengi kujenga barabara za juu mijini, pesa ambazo zingetosha kuweka mifumo mizuri ya umwagiliaji maji na kuwakomboa wakulima na wafugaji kule Turkana.Sasa mbona huko kwenye miji mikubwa hakuna hizo juhudi ukiacha dar na Dodoma? Hata Kenya nimetaja miji yao mikubwa sio kila mji lakini pia kama barabara za mjini zikiwekwa lami zikawa na access nyingi badala ya kutegemea njia moja haziwezi kuwa na msongamano ndio kama Tanga sasa..Mfano Sumbawanga barabara kuu ni moja ambayo ni single lane sasa jioni na asubuhi inaanza kuzidiwa na magari hasa bajaji maana njia za pembeni ya mji sio nyingi sasa by 2025 tayari tutaanza kusubiriana,hakuna kitu nachukia kama foleni.
Dodoma hakutakaa kuje kuwa na upuuzi wa mafoleni,napenda sana wafanye hivyo na mikoa mingine kwa kujenga njia za pembeni au dual
Kuna sehemu zingine zitahitaji pesa nyingi kutengeneza zaidi ya two lanes, mfano Kwa mwanza ile Musoma road huwa naona kule waliishia 3 lanes sijajua kama ni mazingira ndio yalipelekea maana upande mmoja kuna mlima na upande wa pili kuna bonge na mto just near the road, walichokifanya ni kuanza kujenga njia mbadala, sijajua kama 6 lanes zinawezekana kupita baadhi ya sehemu labda zipite juu, moja kwa moja swala la gharama litahusika,Sasa mbona huko kwenye miji mikubwa hakuna hizo juhudi ukiacha dar na Dodoma? Hata Kenya nimetaja miji yao mikubwa sio kila mji lakini pia kama barabara za mjini zikiwekwa lami zikawa na access nyingi badala ya kutegemea njia moja haziwezi kuwa na msongamano ndio kama Tanga sasa..Mfano Sumbawanga barabara kuu ni moja ambayo ni single lane sasa jioni na asubuhi inaanza kuzidiwa na magari hasa bajaji maana njia za pembeni ya mji sio nyingi sasa by 2025 tayari tutaanza kusubiriana,hakuna kitu nachukia kama foleni.
Dodoma hakutakaa kuje kuwa na upuuzi wa mafoleni,napenda sana wafanye hivyo na mikoa mingine kwa kujenga njia za pembeni au dual
Hebu lete ushahidi kwamba dar gdp ni 70% ya Gdp ya Tz.Hao huwa ni wapiga domo wa ccm huwa hawasemi ukweli maana kama ni statistics za maendeleo bora hata huko maana Dar tu ina GDP takribani 70% ndo rest of tzn zinagawana kilichobakia,hili hutasikia wakiliongelea
Kiukweli kwenye barabara za mijini bado Kenya iko vizuri maana miji mingi mikubwa ya Kenya kuanzia Nairobi,Mombasa,Kisumu,Nakuru nA Eldoret barabara zake ni dual carriage na kuna hadi interchange,overpass na underpass na flyovers tofauti na Tzn ambako ndio kwaanza vitu hivyo vinaanza kujengwa Dar huko mikoani ni za kutafutiza kwa tochi but kelele zao sasa hadi midomo inapauka
From a third part, a neutral Ugandan
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
na akipata ushahidi mm nafunga acc jamii forum 😀😀Hebu lete ushahidi kwamba dar gdp ni 70% ya Gdp ya Tz.
Thika super highway
Kabla ya Magu taasisi za umma na wakala zake zinazojitegemea zilikuwa na uwezo wa ku act kama sekta binafsi kwa kukusanya pesa zao na kuzitumia kwa miradi yao huki wakitoa gawio kwa serikali kuu na kutekeleza majukumu yao mengine
Saizi hawawezi tena ni mpaka serikali kuu iaprove kumbuka pesa zote zinaingia mfuko mkuu wa serikali yaani hazina,from there ndio matumizi yaanzia sasa inakua ngumu kuwekeza kama sekta binafsi ndio maana miradi mingi ya nssf imekwama kama mzizima tower nk na hata hakuna miradi mingine hasa ya majengo ya maana..Hili jengo najua ni mali ya ppf ambayo imekufa saizi sijui liko kwa psssf au nsssf
Mzee wa kubishana na NASA!Maji ya ziwa Rukwa huwa ni hiyo rangi
Maji ya ziwa Rukwa huwa ni hiyo rangi ya matope throughout but yanatumika kama kawaida kwa matumizi ya nyumbani na kilimo..pengine inatokana na hiyo mito kuanzia ukanda wa nyanda za juu mikoa ya Songwe,Rukwa na Nchi ya Zambia ambako kuna udongo mwekundu wa kilimo