Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na hapa kuna nn ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
ushuzi mtupu
5115F306-DB86-4D23-B312-EB7B32D9333E.jpeg
 
Heheheheheeee unachukua picha za miaka ya 90 mpk dala dala aina ya dcm ipo hahahaaa hzo gari Dar hakuna kwa ss, af nmeona kuna picha inaonesha jengo la mzizima eti mmeharibu ilo eneo kwa computer paonekane hovyo, hapo penye hilo jengo la mzizima ni hapa msipachafue tafadhali[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1587227935171.jpeg
 
Alipigwa ban kucomment kwenye huu uzi amefungua account nyingine kwa ajili ya kucomment humu,

Tafuta account iliyocomment na Tecno k8.
Nakuona na Tecno yako [emoji23]
ID yenyewe ndio hii,

Ilipigwa ban kucomment kwenye huu uzi kutokana na ukosefu wa adabu kwa kutukana ovyo.
IMG_20200715_095207_603.JPG
 
Back
Top Bottom