Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mbona huko kwenye miji mikubwa hakuna hizo juhudi ukiacha dar na Dodoma? Hata Kenya nimetaja miji yao mikubwa sio kila mji lakini pia kama barabara za mjini zikiwekwa lami zikawa na access nyingi badala ya kutegemea njia moja haziwezi kuwa na msongamano ndio kama Tanga sasa..Mfano Sumbawanga barabara kuu ni moja ambayo ni single lane sasa jioni na asubuhi inaanza kuzidiwa na magari hasa bajaji maana njia za pembeni ya mji sio nyingi sasa by 2025 tayari tutaanza kusubiriana,hakuna kitu nachukia kama foleni.
Dodoma hakutakaa kuje kuwa na upuuzi wa mafoleni,napenda sana wafanye hivyo na mikoa mingine kwa kujenga njia za pembeni au dual
Yaani sumbawanga ujenge 6 lanes road,we chizi eeh!!!?

We ni mkenya,maana hakuna mtz anaweza akawa na akili mbovu kama zako
 
Kuna mtu alisema Coco Beach wamejenga barabara hadi Beach, leo nimepita nimangalia kwa makini mpaka mwisho ilipoishia eneo walilojenga , sijaona beach imeguswa hata kidogo. Angalia Margin ya mwisho kwa upande wa Bahari.
Hata eneo lenye mchanga halijaguswa.

IMG_9848.jpg

IMG_9850.jpg

IMG_9849.jpg

IMG_9854.jpg

IMG_9852.jpg

IMG_9858.jpg

Na hapa ndio mwisho walipojenga
 
Barabara hazijengewi idadi ya watu, bali ni idadi ya Magari, hivi unajua idadi ya magari Tanzania nzima ni kiasi gani?, unajua ration ya Magari kwa Population ya Tanzania vs Kenya?, hivi unajua "Vehicle density ya Tanzania vs Kenya?
1)Kenya kuna Gari nyingi kupita Tanzania, wakati Tanzania ni kubwa Mara mbili ya Kenya.
2)Idadi ya Magari yanayopita ktk barabara za Kenya kwa 100Km ni Mara tatu zaidi ya Tanzania kutokana na udogo wa nchi yao na idadi kubwa ya magari ukilinganisha na Tanzania.
3)Ukiacha barabara ya Dar- Morogoro, barabara zingine zote hakuna wingi wa Magari unaohutaji hiyo unayoshauri wewe.
Si kweli leta facts! A mining country like Tanzania can not be beaten by Kenya! tembelea all the minings across the country uone the kind of vehicles (hardtop pickup Landcruisers), trucks Caterpillars n bulldozers they have! Tembelea all the parks uone the kind of wagons they have, halafu useme kuna nchi gani EA inaweza kujitamba ina vehicles zaidi! wacha kuropoka! Even cargo trucks and buses!
 
Si kweli leta facts! A mining country like Tanzania can not be beaten by Kenya! tembelea all the minings across the country uone the kind of vehicles, trucks n Caterpillars n bulldozers they have! Tembelea all the parks uone the kind of wagons they have, halafu useme kuna nchi gani EA inaweza kujitamba ina vehicles zaidi! wacha kuropoka! Even cargo trucks and buses!
Kwa kweli nilimshangaa sana na mimi. Propaganda za wakenya zimemchukua.
 
Kuna mtu alisema Coco Beach wamejenga barabara hadi Beach, leo nimepita nimangalia kwa makini mpaka mwisho ilipoishia eneo walilojenga , sijaona beach imeguswa hata kidogo. Angalia Margin ya mwisho kwa upande wa Bahari.
Hata eneo lenye mchanga halijaguswa.

View attachment 1505640
View attachment 1505641
View attachment 1505642
View attachment 1505643
View attachment 1505644
View attachment 1505645

Na hapa ndio mwisho walipojenga
Hapo wanajenga njia ngapi mkuu?
 
Barabara hazijengewi idadi ya watu, bali ni idadi ya Magari, hivi unajua idadi ya magari Tanzania nzima ni kiasi gani?, unajua ration ya Magari kwa Population ya Tanzania vs Kenya?, hivi unajua "Vehicle density ya Tanzania vs Kenya?
1)Kenya kuna Gari nyingi kupita Tanzania, wakati Tanzania ni kubwa Mara mbili ya Kenya.
2)Idadi ya Magari yanayopita ktk barabara za Kenya kwa 100Km ni Mara tatu zaidi ya Tanzania kutokana na udogo wa nchi yao na idadi kubwa ya magari ukilinganisha na Tanzania.
3)Ukiacha barabara ya Dar- Morogoro, barabara zingine zote hakuna wingi wa Magari unaohutaji hiyo unayoshauri wewe.
Apo kwenye magari apana mkuu kanchi kama kunya kenye miji yenye nafuu miwil haiwezbkuizidi Tz kwa numbers of cars never
 
Back
Top Bottom