joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Siamini kuona hizi hoja nyepesi nyepesi zinatoka kwa mtu mahiri kama wewe, kwani ni magari ya Kenya tu yanatembea barabarani, ukweli ni kwamba "interms of density" iwe ni watu au magari, Kenya density ipo juu kulinganisha na Tanzania.Unatoa reason zisizo na mashiko! Kwani ni magari ya Tanzania tu yanatembea barabara zetu? Mpaka u-substantiate kutohitaji barabara pana? Traffic Density ya mahali inasababishwa na factor nyingi zikiwemo Population density yenyewe! BTW mbona Dar ni kubwa zaidi on the population density? Na uwepo wa port je, si unasababisha traffic influx pia! je surrounding landlocked countries? mining activities at mainland? Je uwepo wa interaction na visiwa karibu na Dar?
Nairobi population density ni Mara tatu ya Dar, vivyo hivyo kwenye vehicle density. Bandari ya Mombasa inapitisha tani milioni 10 zaidi ya Dar, hata malori ya mizigo toka bandarini ni mengi zaidi kuliko Dar.
Hapo juu kuna Mkenya ameweka link inayoonyesha nchi zenye MAGARI mengi, Tafadhali pinga hiyo data kwa kuweka data mbadala ambazo zinapingana na hizo, punguza maneno weka data, data hupingwa kwa data sio maneno matupu.
