Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Wazee wa shaolin temple hii kitu hawawezani nayo
Wazee wa shaolin temple hii kitu hawawezani nayo
Icho kibwagizo chacha "in the middle income country"A rooftop Bar in the Middle income Country ( Level 8 at Hyatt Regency , The Kilimanjaro.)
View attachment 1505104



Iyo tunaiita render au mdori


No sane person will drive at a speed of even 20km/hr in that street. So the possibilities of such incidence are close to zero. I also think there will be barriers between the pedestrians and the vehicles.


fake engineer,wanaitwa paper injiniaz hao,huwa kazi yao ni ku copy na ku paste michoro ya zamani lakini ukija nae site atafsiri hawezi huwa wanatupa mzigo sana hawa watu ,wamejaa Tanroads hukoYaani wewe Engineer halafu unaongea hivyo ? Mbona Tokyo kuna majengo marefu? I would rather have a city of few tall buildings with underground parking lots but with many public parks, recreation soaces, wide streets, trams n underground transport system than a sprawling city full of short concretes! I call an urban areas with highrise but public amenities for residents, a sustainable city!
Hata mbeya mlikuwaga mnasema hivyo hvyo hadi wenye pesa wakawadharau wameanza kuyajenga wenyewe..Afu jengo la pspf na LAPF ya Dodoma yana floor zaidi ya 10 kwa hiyo hali ya mwamba wa ardhi ya Dodoma sio dhaifu kihivyo,ni vile majengo yanayojengwa ni ya taasisi za umma lakini naamini private sector ikijaanza kuwekeza watajenga majengo marefu zaidi maana ukiangalia kwenye masterplan huwa yanaonekana yapomajengo marefu yanaweza kujengwa Dodoma, tatizo cost mkuu ya kujenga hayo majengo ya kustahimili tetemeko..
ArushaWw Geza mbn unakuwa mbishi? Umeambiwa Dodoma hapatajengwa towers over 15 kwnn unabishana na wataalamu mkuu, ingepaswa ulete ushahidi kwamba kuna miji ambayo ni earthquake zones lkn kuna high towers then ndiyo tu doubt kwnn Dodoma icwe na over 15.
afu mtu anasema hakuna faida ya kujengwa masoko ya madini na kuanzishwa kwa viwanda vya kusafisha madini nchini
shida yako wewe fala huwa unahemka na kukurupuka na hueleweki..Mara useme huwa hapongei mara useme nasifia mfugale yaani unamseleleko wa akili kama unashindia mlenda na matobolwaWakuu huyu huwa tunampotezea cz hana logic ni mpumbavu tu mana ingekuwa vzr km kuna vitu angelikuwa anapongeza lkn huyu ni mjinga sana tena zaidi ya Zitto, kwa kawaida kila serikali kuna mambo inapatia tunapongeza na inapoboronga tunaponda hata uhuru Kenyatta yapo aliyofanya mazuri japo mengi kaboronga hata Kikwete yapo aliyofanya vzr anapongezwa na aliyobolonga anapondwa lkn huyu mpuuzi anaponda tu na kinachotia hasira ni kwamba anachokiponda leo kesho atasifia km hapo juu amesifia mfugale ambayo mwanzoni aliiponda so huyu huwa tunampuuza tu wala msimjibu, mm mwenyewe kani quote lkn wala ctamjibu.
Hongera zenu wakenya,huku Tzn bado serikali inajenga barabara za single lane karne hii za kuunganisha miji na miji tena za surface dressing..Ifike mahali mtizamo wa akili uendane na uchumi wa kati,barabara kuu zinazokatisha miji mikuu ya mikoa ya nchi ziwejengwe dual carriage ili kukabiliana na ongezeko la traffic ,idadi ya watu na kupendezesha miji