Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jiwe Halisi.

IMG_9813.jpg

IMG_9814.jpg

IMG_9812.jpg

IMG_9815.jpg
 
Wakuu ikulu ya Dodoma ni balaa

Angalieni hii video kuanzia 37:00 TBA

Ile tuliooneshwa inayofanana na magogoni ni nyingine,

TBA ndio wenye hii render lakini tatizo hawapo youtube

Kwa kweli nimekuwa impressed na hii design ya ikulu ya Chamwino. It is beautiful and modern indeed. Inawezekana wameamua kujenga nyingine yenye muonekano tofauti kabisa na ile ya magogoni. Hata mimi binafsi nilikuwa sipendi idea ya ku-copy na kupaste ikulu iliyojengwa na mkoloni wakati tunao uwezo wa kudesign na kujenga mpya kabisa ya kisasa zaidi. Ile ya dar ibaki kwa ajili ya historia ya taifa letu lilikotokea.
 
Yale majengo ya Magogoni yatajengwa pia, Ikulu ina majengo mengi sana kwa ajili ya shughuli tofauti...
 
Kwa kweli nimekuwa impressed na hii design ya ikulu ya Chamwino. It is beautiful and modern indeed. Inawezekana wameamua kujenga nyingine yenye muonekano tofauti kabisa na ile ya magogoni. Hata mimi binafsi nilikuwa sipendi idea ya ku-copy na kupaste ikulu iliyojengwa na mkoloni wakati tunao uwezo wa kudesign na kujenga mpya kabisa ya kisasa zaidi. Ile ya dar ibaki kwa ajili ya historia ya taifa letu lilikotokea.
ikulu ni ileile ya Dar sema kuna majengo mengine pia, ndo yale yanayo onekana ktk video
 
Hiyo video ni jengo la Ukumbi wa JK Nyerere a kind of replica to Kikwete Hall at Magogoni! Mi sijui kwanini watu hawajali historia ya nchi? Binafsi sioni tatizo jengo la Ikulu kuwa kama lile la Dar maana limesheheni historia yetu na lina Swahili architectural design! the US White House haijabadilika japokuwa wanaweza kujenga hata jengo la ghorofa 100!
 
Huyu mkulima anatuaibisha sn co tu kutukosesha mapato, km anatudai c alipwe mana km tunaweza kuwalipa yapi merkezi tunashindwaje kamtu kamoja? Yn kamtu kamoja tu ndo katusumbue hv labda huyo mkulima ndiyo SA ynyw lkn co mtu mmoja eti asumbue nchi kubwa kama Tz.
Kuna uhuni flani, subiri washughulike nao deep.. Usafiri kwenda SA utakua fixed soon... Watz hasa wanasheria ndio mda wenu wa kujitangaza huu
 
Back
Top Bottom