kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,819
- 3,176
Wah hyo ni uswazi walai
Ulitaka iwe slums!Wah hyo ni uswazi walai
Kule kwao ni vibanda vya bati wanaishi watuUlitaka iwe slums!
wewe hemka ukimaliza utatulia..hayo ma ndege nk yatanisaidia nini kama sina purchasing power ili nipande hizo ndege? au mtaenda kufanyia maonyesho pale sabasaba kama wale simba wanaokunywa chai? Hii ni Ethiopian/Nigerian way/ of economy mwisho wa siku mtaanza kukamatwa mnakimbia nchi ili mulowee na sgr na flyover zenu,thus way nilikuwa nakubali style ya uchumi ya Jk ya ku adress income poverty kwa mbinu mbalimbali ili kuongeza purchasing power ya mtu..sasa hivi kilichobaki ni kila mtu kulilia serikali ili maisha yaende maana watu binafsi pesa imepungua sana mifukoni ila serikalini kuna pesaAlafu mtu anakuja eti oohh wakati wa Mkapa na Jk per capita ilikuwa inaongezeka kwa rate kubwa kuliko huyu, wehu kweli hawa hzo per capita cc zilitusaidia nn zaidi ya kushuhudia ufisadi uliotapakaa, naomba waelewe kwamba cc hatutaki hzo cjui per capita cjui utumbo gn wabaki nao wenyewe but cc tunataka kuona tunajenga reli cc wenyewe, umeme haukatiki katiki, tunajenga flyovers kila pembe, tunanunua ndege za kutosha, tunajenga hospitali kila kona ya nchi, tunajenga masoko na stand za kisasa, tunajenga mabwawa ya umeme kwa kadri tunavyoweza, tunajenga barabara za kiwango cha juu na co zile barabara white [emoji208] zao, hayo mambo cjui per capita income cjui mautumbo gn wabaki nayo wenyewe.
Hivi hii interchange na lile flyover ya mfugale ipi ni nzuri na complex? mbona hatukusikia makelele kama awamu hii? Bado sijaona kipya awamu hii na bado swali langu halijajibiwa..Toka 2015 ni mikoa gani imeunganishwa na lami za barabara kuu?
Tangu umeingia jf maswali yako ni hayo hayo hauna line ingine?Hivi hii interchange na lile flyover ya mfugale ipi ni nzuri na complex? mbona hatukusikia makelele kama awamu hii? Bado sijaona kipya awamu hii na bado swali langu halijajibiwa..Toka 2015 ni mikoa gani imeunganishwa na lami za barabara kuu?
au ulikuwa huna simu kipindi hicho mkuu!!!!!Hivi hii interchange na lile flyover ya mfugale ipi ni nzuri na complex? mbona hatukusikia makelele kama awamu hii? Bado sijaona kipya awamu hii na bado swali langu halijajibiwa..Toka 2015 ni mikoa gani imeunganishwa na lami za barabara kuu?
Moja ya miji nayopenda kuishi tena ina mandhari mazuri huku imepambwa na viziwa 2na rocks na hakuna matope ni mchanga fulani hivi ..The other tows are Sumbawanga,Arusha and NjombeSingida pazuri sana, wengi wanapadharau kwa maoni yangu, lkn ni moja kati ya miji mizuri hapa kwetu, tena sasa hivi wamepiga lami karibia mji mzima!
Tangu umeingia jf maswali yako ni hayo hayo hauna line ingine?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Wakuu huyu huwa tunampotezea cz hana logic ni mpumbavu tu mana ingekuwa vzr km kuna vitu angelikuwa anapongeza lkn huyu ni mjinga sana tena zaidi ya Zitto, kwa kawaida kila serikali kuna mambo inapatia tunapongeza na inapoboronga tunaponda hata uhuru Kenyatta yapo aliyofanya mazuri japo mengi kaboronga hata Kikwete yapo aliyofanya vzr anapongezwa na aliyobolonga anapondwa lkn huyu mpuuzi anaponda tu na kinachotia hasira ni kwamba anachokiponda leo kesho atasifia km hapo juu amesifia mfugale ambayo mwanzoni aliiponda so huyu huwa tunampuuza tu wala msimjibu, mm mwenyewe kani quote lkn wala ctamjibu.au ulikuwa huna simu kipindi hicho mkuu!!!!!
hamna mabanda ya mbavu za Mbwa lakini kama Kibera lakini na Gorokocho!Wah hyo ni uswazi walai
Huo mradi ungejenga two lanes km nyingi sana,tunajua hali yenu ya barabara
Unamaanisha nini?Huo mradi ungejenga two lanes km nyingi sana,tunajua hali yenu ya barabara
Pesa mtakayoitumia hapo mngeamua kujenga two lanes kwenye mitandao yenu ambayo bado inavumbi mngesongeza parefu. ..no matter nani anafadhili MradiUnamaanisha nini?
Itapendeza sana vijana waendelee kupata ajiraDodoma kumekucha