joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Nchini inaendeshwa na Private sector by 80%, bila private sector hakuna maendeleo. Chukulia mfano sector ya Kilimo, uvuvi, mifugo na Madini, zote hizi zinaendeshwa na sector binafsi kwa zaidi ya 99%, kumbuka hao walioko katoka sekta ya ujenzi ambao unataka wasipewe hizo kazi, wengi wao ndio wenye mashamba makubwa, ndio wenyekumiliki vyombo vya uvuvi na mifugo, ukiwanyima kazi za ujenzi, sectors zote zitaanza kuzorota, uchumi utadorora.Ndiyo secta binafsi ni muhimu ila si vyema kuiacha inatuharibia kazi na kutupotezea muda mfano ni ndege tunge achia sekta binafsi hadi Leo tusingekuwa na midege ya maana maendeleo ya nchi ni muhimu kuliko secta binafsi mbovu
Send by APOLO 1
