Mzururaji Tanzania
Member
- Jul 3, 2020
- 94
- 376
Tz kwa ss tushazoea ujenzi, kila kona ya nchi kunajengwaHii Kampuni Inaitwa China Road And Bridge Corporations Hta Hpa Dar Ipo Na Ndio Wanaojenga Barabara ya Shekilango, Sinza Makaburini na Ple Mori
View attachment 1501157View attachment 1501159



Ww Geza mbn unakuwa mbishi? Umeambiwa Dodoma hapatajengwa towers over 15 kwnn unabishana na wataalamu mkuu, ingepaswa ulete ushahidi kwamba kuna miji ambayo ni earthquake zones lkn kuna high towers then ndiyo tu doubt kwnn Dodoma icwe na over 15.Yaani wewe Engineer halafu unaongea hivyo ? Mbona Tokyo kuna majengo marefu? I would rather have a city of few tall buildings with underground parking lots but with many public parks, recreation soaces, wide streets, trams n underground transport system than a sprawling city full of short concretes! I call an urban areas with highrise but public amenities for residents, a sustainable city!
hata ukikasirika ilala haitabadilika 😂😂👇One same pic of Ilala January to December 😂 😂 Acha nikuongeze na hizi angalauView attachment 1501173View attachment 1501174View attachment 1501175
Kwa nijuavyo mm ni kwamba Dodoma hapatajengwa majengo marefu ss huenda sina information kamili, pengine ndiyo naskia kutoka kwako kwamba kuna areas for high rise buildings.Hamna kitu kama hicho master plan ya Dodoma ina high rise buildings area!
Kwa nijuavyo mm ni kwamba Dodoma hapatajengwa majengo marefu ss huenda sina information kamili, pengine ndiyo naskia kutoka kwako kwamba kuna areas for high rise buildings.
Endelea kubaki na unavyojuaKwa nijuavyo mm ni kwamba Dodoma hapatajengwa majengo marefu ss huenda sina information kamili, pengine ndiyo naskia kutoka kwako kwamba kuna areas for high rise buildings.
Blue Blue
huko ni dodoma, si vizur kujenga majengo above 15 floors sababu ya matetemeko!
pia angalieni vizur hii video.. the building is structurally amazing!
Hii ata inachapwa na ngaraKm Hujui Ilala Hamna Slum
Ilala Ni Sehem Ambyo Kuna Mitaa Na Barabara Kila Sehemu, hyo Nyumba Imechakaa Ndio Maana Na Nikwmbie Tuu Ukweli Thaman ya Ardhi Ilala ni Kubwa Tena Kubwa Balaa!! Haijalishi Nyumba Imechakaa au Laa na Ndio Maana Umeona Since January to December pko vlevle ciz It's really Expensive
View attachment 1501180
Nilivo sikia ni kua dodoma huruhusiwi kujenga ghorofa refu
Ni kutokana na logistic za ki uhandisiHuo utakua ushamba. Hatuwezi kuwa na capital city ina vijengo kama mabweni.
But si kuliko KenyaTz kwa ss tushazoea ujenzi, kila kona ya nchi kunajengwa![]()
Hiyo terminus inakaa choo za pale Nairobi sgr station, hahaha
Labda mpaka JPM aseme!View attachment 1501263
Nasikitika kwa nini mkandarasi mshauri hakuhakikisha anaweka dawa ya kuzuia ukungu kwenye zege? St Joseph inang'aa kwasababu ukungu hauoti kwenye kuta. Nashangaa wahusika hawanajisahau kana kwamba ni wageni wa hali ya hewa ya jiji.
Ona huyu,hii si ile expressway ya from athi river to Mombasa city(500km),is not the same na yenye iko under construction yenye inaanza mlolongo to westlands(27km)View attachment 1501082
hapo ni kampuni ya marekan ilipewa tender ijengwe, labda imebadirishwa na kupewa wachina
Ila kwenye usanifu wa jengo wamebagua uwakilishi wa vitengo vingine vya uhandisi.jengo letu hilo.. linajengwa kwa michango yetu ya kila mwaka