NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
usitake watu wafute ID zao JF na kujilaumu kwanini walizaliwa kabisaaa
![]()














usitake watu wafute ID zao JF na kujilaumu kwanini walizaliwa kabisaaa
![]()














Wewe ni mgumu sana kuelewa ama unapenda tu ubishi. I'll make it simple for you; Google these two: "Nairobi-Mombasa expressway" then again "JKIA-James Gichuru Elevated Expressway" then come back with information about the contractor of each project kisha tuongee kutoka hapo
You guys are coming with different narratives every time you are cornered. Mwanzo ilikuwa ni bango la ujenzi, kisha ikawa iweje inajengwa na mchina na sio mmarekani. Sasa hivi ni kwama itamilikiwa for 27 years. At the end of the day, barabara itajengwa huku mkiendelea kutafuta kila aina ya kisingizio kuiponda!kuna mwenzako alikuwa anaiita mombasa expressway.. hio ndo tunajua inajengwa na USA. pia najua kuna ile barabara nyingine (jkia-gichuru) ambayo itakuwa ni ya kulipia inajengwa na wachina na wataimiliki kwa almost 27 yrs! so shida ni huyo mwenzako alikuwa anaiita hio barabara Mombasa expressway
Unaniuliza Mm What Is Private Investors?Inakuaje private investor wakati the project is being financed by the government of Kenya? Unajua maana ya private investor kweli?
You guys are coming with different narratives every time you are cornered. Mwanzo ilikuwa ni bango la ujenzi, kisha ikawa iweje inajengwa na mchina na sio mmarekani. Sasa hivi ni kwama itamilikiwa for 27 years. At the end of the day, barabara itajengwa huku mkiendelea kutafuta kila aina ya kisingizio kuiponda!
Kwa mwenendo wanaoenda nao sitashangaa kuona wanarudi ldc.kenya ni poor country iliyobebwa kuwa middle income ili ifiche haibu zake na uhalisia wa maisha ya kenya kwa ujumlaView attachment 1501140
huko ni dodoma, si vizur kujenga majengo above 15 floors sababu ya matetemeko!
pia angalieni vizur hii video.. the building is structurally amazing!
same pic different angles 😂😂😂
Hii Kampuni Inaitwa China Road And Bridge Corporations Hta Hpa Dar Ipo Na Ndio Wanaojenga Barabara ya Shekilango, Sinza Makaburini na Ple MoriUSA na haya maandishi ya kichina wap na wap???
View attachment 1500717
Nilivo sikia ni kua dodoma huruhusiwi kujenga ghorofa refuso likiwa refu haliwezi kuwa quality? Mbona unaniangusha mzee?
No one asked about your specialty. It's so stupid to even mention it on a forum like this. Secondly, your reasoning and way of argument tell a whole different story from the "engineer" that you are. Anyway, the government of Kenya is neither a company nor a person as you imply above. How that becomes a private investor leaves a lot to desired about your way of reasoning. Start reasoning like an engineer that you claim you are.Unaniuliza Mm What Is Private Investors?
Hvi Mind yko Inafanya Kazi Sawasawa Kwl ww? Kijana Mm Ni Engineer sawa? Mechanical engineering From DIT (Dar es salaam Institute of Technology) Next time don't come asking Questions like this...
A private investor Ni person or company that invests their own money into a company, kwadhumuni la kuhelping that company succeed and getting a return on their investment
Hamna kitu kama hicho master plan ya Dodoma ina high rise buildings areas!Nilivo sikia ni kua dodoma huruhusiwi kujenga ghorofa refu
Yaani wewe Engineer halafu unaongea hivyo ? Mbona Tokyo kuna majengo marefu? I would rather have a city of few tall buildings with underground parking lots but with many public parks, recreation soaces, wide streets, trams n underground transport system than a sprawling city full of short concretes! I call that a sustainable city!