Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo naomba twende kwa hoja, mm nitaje vitu ambavyo Jpm kafanya Jk hajafanya zen ww uniambie vitu ambavyo jk kafanya Jpm hajafanya, mm naanza.

Naanza,
1. Jpm anajenga bwawa la umeme JNHP ambapo JK hajathubutu kujenga bwawa la umeme.

2. Jpm amejenga masoko ya madini.

3. Jpm anajenga reli ya umeme, ckumbuki km Jk amewahi kujenga japo metre 1 ya reli.

4. Katika uongozi wa Jpm nimeshuhudia barabara za lami mpk mtaani kwetu kitu ambacho ni ndoto.

5. Elimu bure kwa watoto wa primary mpk secondary, hii mara ya mwisho nadhani ilikuwa enzi za Nyerere huko.

Mambo ni mengi ila naishia hapo, ss na ww niambie vitu ambavyo Jk amefanya Jpm hajafanya.
Kwanza uelewe kila awamu ina mambo yake ya kutekeleza kuanzia pale ilipoishia nyingine na kuanzisha mambo mapya
1.JK alijenga mitambo ya umeme wa gas na mabomba,hakuona haja ya umeme wa maji maana kila awamu na zama zake nadhani unakumbuka uchumi/umeme wa gas ndio ulikua kauli mbiu ya awamu iliyopita sasa huyu kapiga chini
Niongeze volume ya kulinganisha hasa kwenye uchumi?
2.Kujenga jengo sio kwamba ndio soko,kwani kuna siku ulikuta madini hayauziki eti yamekosa jengo linaloitwa soko? Ko hii sio hoja bali serikali kuleta ujamaa
3.Aliyeasisi mchakato wa reli ya sgr ni Jk kupitia wachina,Magu kateka nyara na kuleta mkandarasi wake kama alivyoizima bandari ya bagamoyo
4.Barabara zote anazozindua Magu hajawahi kuzianzisha yeye kuanzia brt hadi flyovers..Jk aliunganisha mikoa ya iringa-dodoma-singida,mbeya-sumbawanga-mpanda,Kigoma-burundi,Songea-masasi-mtwara nk nk..Hadi leo hii Magu kashindwa kuunganisha kagera-kigom,mbeya-tabora/singida,tabora-kigoma nk nk kachemka
5.Elimu bure ilianzia kwa kushusha ada tangu enzi ya mkapa kwa shule ya msingi,jk akashusha ada ya o level na kujenga mashule ya kata nchi nzima hadi vyuo vikuu sio kama saizi watu wanajenga mabweni wanajipiga kifua
 
Tanzania: Dar Attains Middle Income Status Ahead of Schedule

FacebookTwitterWhatsAppFlipboardLinkedInRedditEmailShare
15 JUNE 2018
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By Henry Lyimo
TANZANIA has joined the ranks of Middle Income Countries (MIC) eight years ahead of schedule, after strong growing economy lifted the average income of the people to the levels of the group.

Presenting the state of the economy in Parliament yesterday, the Minister for Finance and Planning, Dr Phillip Mpango said the per capita income in US dollars term reached 1,021 US dollars in 2017 up from 958 US dollars in 2016.

...
 
Ni ya wachina aje na iko Kenya. Mbona unaogopa kufikiria.
Hivi mkiishi ndani ya nyumba moja wanaume wawili na mwanamke mmoja na kati ya hao wanaume mmoja ni hanidhi,hivi kati hao,unafikiri huyo mwanamke ni wanani?
 
Kwanza uelewe kila awamu ina mambo yake ya kutekeleza kuanzia pale ilipoishia nyingine na kuanzisha mambo mapya
1.JK alijenga mitambo ya umeme wa gas na mabomba,hakuona haja ya umeme wa maji maana kila awamu na zama zake nadhani unakumbuka uchumi/umeme wa gas ndio ulikua kauli mbiu ya awamu iliyopita sasa huyu kapiga chini
Niongeze volume ya kulinganisha hasa kwenye uchumi?
2.Kujenga jengo sio kwamba ndio soko,kwani kuna siku ulikuta madini hayauziki eti yamekosa jengo linaloitwa soko? Ko hii sio hoja bali serikali kuleta ujamaa
3.Aliyeasisi mchakato wa reli ya sgr ni Jk kupitia wachina,Magu kateka nyara na kuleta mkandarasi wake kama alivyoizima bandari ya bagamoyo
4.Barabara zote anazozindua Magu hajawahi kuzianzisha yeye kuanzia brt hadi flyovers..Jk aliunganisha mikoa ya iringa-dodoma-singida,mbeya-sumbawanga-mpanda,Kigoma-burundi,Songea-masasi-mtwara nk nk..Hadi leo hii Magu kashindwa kuunganisha kagera-kigom,mbeya-tabora/singida,tabora-kigoma nk nk kachemka
5.Elimu bure ilianzia kwa kushusha ada tangu enzi ya mkapa kwa shule ya msingi,jk akashusha ada ya o level na kujenga mashule ya kata nchi nzima hadi vyuo vikuu sio kama saizi watu wanajenga mabweni wanajipiga kifua
Eti umeme wa gesi lini huo umeme wa gesi umetumika effectively hapa Tz, eti kashusha ada kwa taarifa yako enzi za Mkapa kuna shule za private zilikuwa zinachaji mpk elfu 70 mara baada tu ya Jk kuingia ndpo ada zikaanza kupanda, kuhusu elimu iko wazi elimu ya Tz iliharibiwa na nani, anachukua mpk vilaza anapeleka advance na vyuoni, kuhusu barabara jibu unalo cwezi hata kugusia, vipi sekta ya afya mbn hujaigusa [emoji3][emoji3][emoji3], and incase u don know ni kwamba chini ya Jpm Tanzania inasubiri siku tu kuingia kwenye group la middle Income countries [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mambo ya umeme wa geothermal na windpower unaohitaji kulipia capacity charges!
Duh, sasa kwanini wasitumie njia nafuu za uzalishaji wa umeme!

Au ndio ile viongozi wao hawaelewi ni nini wanafanya na kupenda kufanya vitu kwa sifa bila kufanya tathmini.
 
Tanzania: Dar Attains Middle Income Status Ahead of Schedule

FacebookTwitterWhatsAppFlipboardLinkedInRedditEmailShare
15 JUNE 2018
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By Henry Lyimo
TANZANIA has joined the ranks of Middle Income Countries (MIC) eight years ahead of schedule, after strong growing economy lifted the average income of the people to the levels of the group.

Presenting the state of the economy in Parliament yesterday, the Minister for Finance and Planning, Dr Phillip Mpango said the per capita income in US dollars term reached 1,021 US dollars in 2017 up from 958 US dollars in 2016.
Tanzania: Dar Attains Middle Income Status Ahead of Schedule

FacebookTwitterWhatsAppFlipboardLinkedInRedditEmailShare
15 JUNE 2018
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By Henry Lyimo
TANZANIA has joined the ranks of Middle Income Countries (MIC) eight years ahead of schedule, after strong growing economy lifted the average income of the people to the levels of the group.

Presenting the state of the economy in Parliament yesterday, the Minister for Finance and Planning, Dr Phillip Mpango said the per capita income in US dollars term reached 1,021 US dollars in 2017 up from 958 US dollars in 2016.

...
Golden jump.
 
wameona haibu yaani LDC ina millinaires wengi kuliko MLDC... hawana namna ni lazima waiweke sehemu ya haki yake
Nikweli wameona haibu kwa mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na taharuma zao maana Kenya ambayo 80% ya RAIA wake wanaishi kwa slum kuiweka juu ya tz ? Hii ni faida ya tz kuanza kujitangaza kupitia wanamuziki wetu na vyombo mbalimbali vya habari na magufuli vyote vimesababisha wabaki midomo wazi na kuficha aibu zao kwa kuitoa tz LCD ghafla
 
Back
Top Bottom