Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha,kaka mbona una hasira na JPM?! Inaonekana wewe ndio mmoja alowapiga dole alafu akakupa unuse,ndio maana uko frustrated naye,pole ndugu,hii dunia nikuvumilia tu hakuna namna.
hao ndio wale walizoea vya bure 😂😂😂
 
hilo ndio eneo liko covered 😂😂😂 au munajenga mita 10 express way munaona watu wajinga sana humu
5980118F-5D39-4251-925B-38141440CA61.jpeg
 
Ulitaka waanze kwa kulima 27km mara moja?., a journey of 1000miles begins with one step, huwezi jenga 2nd floor kama ata haujalima shimo ya msingi wewe vipi? Unatamani sana hili lisitendeke naona, lakini pole. We will always be on top of you povu ruksa., leta kibera ukitaka
hilo ndio eneo liko covered au munajenga mita 10 express way munaona watu wajinga sana humuView attachment 1489603
 
tunaenda na uhalisia wa maisha na siyo kufake mambo....

tumetisha story za LDC zishaisha sasa kinachofuata wataanza ooh sisi tupo MLDC mda mrefu....

kama tunavyojua siku ya kufa nyani miti huwa vipi
Kuna ile ramani ya Africa inayoonesha ldc countries huwa wanapenda kuituma tuma humu itabidi kwa sasa wajiandae kisaikolojia halafu mwingine ndio kaiweka kama dp yake humu.
 
Ulitaka waanze kwa kulima 27km mara moja?., a journey of 1000miles begins with one step, huwezi jenga 2nd floor kama ata haujalima shimo ya msingi wewe vipi? Unatamani sana hili lisitendeke naona, lakini pole. We will always be on top of you povu ruksa., leta kibera ukitaka
inaonesha ww kwenye maswala ya ujenzi huna ulijualo 😂😂😂😂 yani u cover 10 meters alaf munajenga nn hapo do u think here people are stupid 😃😃😃

huu ni ujenzi wa fly over hapa na eneo lote lipo covered
519AE6D9-6245-4538-A9C5-F90284FD567C.jpeg
6E7B3ED6-2865-4CF1-820F-2C1C0FB9A237.jpeg
94F583B3-E4B7-4B9A-AAE4-6589385A705C.jpeg
 
Back
Top Bottom