Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aise mkuu,huyu jamaa nahisi ni sycophants wa JK ambao walikuwa wakijiita "Mr.untouchable" sasa Magu alipoingia,mambo yamewabadilikia,yaani yupo frustrated sana,alafu inaonekana psychologically,ana msongo wa mawazo sana.ni kumpuuza tu.
Sure mkuu, cz anachokiongea hata ckioni, analinganisha Toyota na Lamborghini wp na wp, Magu wkt anaingia aliahidi kuipeleka nchi katika uchumi wa kati na kweli soon tunaenda kwenye uchumi wa kati, ss cjui anachopinga kiko wapi, watu tulikuwa hatutaki siasa za kwenye makaratasi zile za kusema uchumi unakuwa wkt hatuoni chochote kinachoendelea zaidi ya kuletewa neti na kujengewa barabara zisizo na ubora, viongozi walikuwa wanapishana angani kila siku, huyu aliyepo madarakani tng ameingia mpk leo sijasikia kwenda ulaya labda awe anaenda kmy kmy kitu ambacho c kweli cz tunaona mabeberu wanamfata wao huku, ss anaongea nn huyu jamaa.
 
Beautiful structures
D62D5A47-0F5F-44A8-948E-9534F55DEB50.jpeg
F1EEC862-A29C-4F3E-9038-540C0F015A44.jpeg
 
Kwanza uelewe kila awamu ina mambo yake ya kutekeleza kuanzia pale ilipoishia nyingine na kuanzisha mambo mapya
1.JK alijenga mitambo ya umeme wa gas na mabomba,hakuona haja ya umeme wa maji maana kila awamu na zama zake nadhani unakumbuka uchumi/umeme wa gas ndio ulikua kauli mbiu ya awamu iliyopita sasa huyu kapiga chini
Niongeze volume ya kulinganisha hasa kwenye uchumi?
2.Kujenga jengo sio kwamba ndio soko,kwani kuna siku ulikuta madini hayauziki eti yamekosa jengo linaloitwa soko? Ko hii sio hoja bali serikali kuleta ujamaa
3.Aliyeasisi mchakato wa reli ya sgr ni Jk kupitia wachina,Magu kateka nyara na kuleta mkandarasi wake kama alivyoizima bandari ya bagamoyo
4.Barabara zote anazozindua Magu hajawahi kuzianzisha yeye kuanzia brt hadi flyovers..Jk aliunganisha mikoa ya iringa-dodoma-singida,mbeya-sumbawanga-mpanda,Kigoma-burundi,Songea-masasi-mtwara nk nk..Hadi leo hii Magu kashindwa kuunganisha kagera-kigom,mbeya-tabora/singida,tabora-kigoma nk nk kachemka
5.Elimu bure ilianzia kwa kushusha ada tangu enzi ya mkapa kwa shule ya msingi,jk akashusha ada ya o level na kujenga mashule ya kata nchi nzima hadi vyuo vikuu sio kama saizi watu wanajenga mabweni wanajipiga kifua
Kama humtaki/humpendi Magufuli ni bora tu upambane na hali yako hayo ni matatizo yako binafsi. Magufuli amefanya diversification ya maendeleo nikiwa na maana kwamba kila sector ameigusa na matokeo chanya yanaonekana ndani ya kipindi kifupi cha miaka mitano tu.

Kama kweli wewe huna chuki binafsi na Magufuli chora jedwali halafu onyesha alichofanya Kikwete na alichofanya Magufuli ndani ya miaka mitano halafu weka hapa tujadili. Sina lengo la kudharau maendeleo yaliyofanywa na serikali ya awamu ya nne bali kuonyesha chuki zako binafsi ambazo hazina mashiko.

Kuhusu suala la kuanzisha miradi nadhani wewe unachekesha sana. Ni rais yupi ambaye alipoingia ikulu alikuta hakuna miradi ya maendeleo iliyoachwa na mtangulizi wake. In fact, serikali ya awamu ya tano imeanzisha miradi mingi tu ndani ya hiki kipindi cha niaka mitano. Hata serikali ya awamu ya kwanza ya J.K Nyerere ilirithi mambo mengi tu yalioachwa na wakoloni na mengine tunayo hadi leo na tunaendela nayo. Hata Kikwete alikuta miradi mingi tu ya barabara iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tatu chini ya Benjamini Mkapa na yeye ameondoka mingine haijaisha.

ACHA UZWAZWA WE MTU MZIMA SASA! 😃 😃 😃
 
chuki za nini,namba tu hazidanganyi..mlichofaulu nyie awamu hi ni matumizi ya propaganda za enzi za ujamaa na kutumia vyombo vya dola kuwafunga wengine midomo..kama mumefanya maendeleo matumizi ya polisi ni ya kazi gani,mnajua kwamba hali ya mwananchi ni ngumu ndio maana mnafanya hivyo
 
watanzania... ukitaka kujua huyu jamaa ni hamnazo.. ni kwamba hio point ya kwanza natolea maelezo yafuatayo .. mim ninafanya kazi kwenye plant ya umeme wa gas..
installation costs ya umeme wa maji ni kubwa kuliko ya gas lakin maintenance costs ya umeme wa gas ni kubwa sana, mara dufu, kuliko ya umeme wa maji.. pia resource ya gas is limited ila maji yapo mda wote sasa hapa tayar tunajua nani ametengeneza plant ya umeme mzuri na ya uhakika ..

point nyingine najibu (nje ya engineering knowledge).. masoko ni muhimu kwasababu mzunguko wa hela unabaki nchini, zaman madini yalikuwa yanauzwa au kupigiwa mnada nje ya nchi.. hivyo hao wanunuzi wanakuja nchini na kununua hayo madini, na wala si sisi kuyapeleka huko nje kuyauza

tatu, KJ alikusudia kuleta SGR kama yenu ya diesel.. Magu kaleta ya umeme

nne, alietoa mapendekezo barabara zipi zijengwe alikuwa Magu mwenyewe maana alikuwa waziri wa ujenzi.. JK kazi yake ilikuwa ni kuunga mkono tu kwamba mapendekezo ya Magu yapite

tano, kuna tofauti kati ya kwenda shule bila kulipa ada kbsa na kwenda shule huku unalipa ada, hata ingekuwa ada ni 1000/=.. hapo tofauti ipo!
ajira za kila mwaka kwenye sekta binafsi na umma plus ongezeko la mishahara kila mwaka lilifanyika na awamu ya 4,awamu hii vipee
Narudia tena taja barabara hata 1 mpya mliyojenga kuunganisha na nchi jirani au mkoa
 
jibu hoja awamu ya tano imejenga barabara zipi za kuunganisha mkoa na mkoa maana hakuna mkoa mpya uliofunguka
Mikoa ambayo ilikuwa nyuma na haikufunguka ndio nguvu imewekwa huko.
Mpak wa Mhe.Magufulia anapambania kuinganisha Tabora na Kigoma maeneo ya Kaliua na Urambo yalikuwa bado. Mkoa wa Rukwa umeunfanishwa na Mpaka Kasanfa port vipi kati ya Rukwa-Katavi-Kigoma-Kagera. Hii nayo inaendelea

Sehemu kubwa ya miji na Majiji huoni kilichofanyika? Lami na taa huzioni

Musoma, Arusha, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Iringa nk achilia mbali makubwa mengi yanayoendelea hapa Dar Es Salaam

Mfano. Singida hii
 
Attachments

  • 20190125_200605.jpg
    20190125_200605.jpg
    40.7 KB · Views: 25
Aise mkuu,huyu jamaa nahisi ni sycophants wa JK ambao walikuwa wakijiita "Mr.untouchable" sasa Magu alipoingia,mambo yamewabadilikia,yaani yupo frustrated sana,alafu inaonekana psychologically,ana msongo wa mawazo sana.ni kumpuuza tu.
unajiuliza na kujijibu,aisee raha sana mtu akiwa njiapanda
 
Mikoa ambayo ilikuwa nyuma na haikufunguka ndio nguvu imewekwa huko.
Mpak wa Mhe.Magufulia anapambania kuinganisha Tabora na Kigoma maeneo ya Kaliua na Urambo yalikuwa bado. Mkoa wa Rukwa umeunfanishwa na Mpaka Kasanfa port vipi kati ya Rukwa-Katavi-Kigoma-Kagera. Hii nayo inaendelea

Sehemu kubwa ya miji na Majiji huoni kilichofanyika? Lami na taa huzioni

Musoma, Arusha, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Iringa nk achilia mbali makubwa mengi yanayoendelea hapa Dar Es Salaam

Mfano. Singida hiiView attachment 1490858
hiyo mikoa ameiona leo? mbona vilibakia vipande vichache kuimalizia lakini miaka 5 imekata hali ni ile ile,ukiuliza utaambiwa kandarasi yuko site sijui atamaliza lini..si ajabu miaka 5 zimejengwa km chini ya 3000 tu za lami
Alafu hizo barabara za mijini na taa ni sawa na brt ya dar ni muendelezo wa makubaliano ya pesa ya mkopo toka awamu ya 4 na WB alizikuta na ataziacha maana kuna hadi awamu 4 za utoaji wa hizi pesa ko hakuna jipya ameleta hapo
 
hiyo mikoa ameiona leo? mbona vilibakia vipande vichache kuimalizia lakini miaka 5 imekata hali ni ile ile,ukiuliza utaambiwa kandarasi yuko site sijui atamaliza lini..si ajabu miaka 5 zimejengwa km chini ya 3000 tu za lami
Mtu wangu unalawama wewe hata SGR hulioni?
Daraja la Selander hulioni?
Busisi Kigongo Bridge bado unapiga MUTE
Dodoma Makao makuu hupaoni

Utakuwa na yako tu
 
Mtu wangu unalawama wewe hata SGR hulioni?
Daraja la Selander hulioni?
Busisi Kigongo Bridge bado unapiga MUTE
Dodoma Makao makuu hupaoni

Utakuwa na yako tu
Hapo toa salenda hiyo pesa jk aliitafuta kwa wakolea,sawa na ubungo flyover na tazara hizo pesa alizi lobby kwa wajapan..sgr,daraja la kuvuka ziwa na makao makuu ni temb mweupe..mradi wa maana ni umeme tu wa stiglaz
 
Kigongo Busisi ni White Elephant? We vipi lakini?
Kuhamia Dodoma ni White Elephant? Hauko sawa aiseh na wajibu wa serikali ktk hii nchi naona kama haufahamu.
 
Eti umeme wa gesi lini huo umeme wa gesi umetumika effectively hapa Tz, eti kashusha ada kwa taarifa yako enzi za Mkapa kuna shule za private zilikuwa zinachaji mpk elfu 70 mara baada tu ya Jk kuingia ndpo ada zikaanza kupanda, kuhusu elimu iko wazi elimu ya Tz iliharibiwa na nani, anachukua mpk vilaza anapeleka advance na vyuoni, kuhusu barabara jibu unalo cwezi hata kugusia, vipi sekta ya afya mbn hujaigusa [emoji3][emoji3][emoji3], and incase u don know ni kwamba chini ya Jpm Tanzania inasubiri siku tu kuingia kwenye group la middle Income countries [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa kama awamu iliyopita uchumi ulikuwa unakua kwa zaidi ya 7% annually huyu wa sasa atashindwa kumsukuma mlevi? mbona takwimu za uchumi wa sasa ziko tofauti kati ya za serikali na za mashirika ya fedha ya kimataifa
kwamba wodi za vituo vya afya na miradi ambayo haijakamilika na haijaanza kuingiza hata mia ndo imeipeleka nchi mido inkamu au
 
ajira za kila mwaka kwenye sekta binafsi na umma plus ongezeko la mishahara kila mwaka lilifanyika na awamu ya 4,awamu hii vipee
Narudia tena taja barabara hata 1 mpya mliyojenga kuunganisha na nchi jirani au mkoa
Unataka nchi ijenge reli , bwawa la umeme, kukarabati n kunda meli za zamani n mpya, upanuaji wa bandari, ujenzi wa viwanja vya ndege ,kununua ndege na kununua rada,kujenga maghala ya vyakula nchi nzima,kusambaza maji na umeme mpaka vijijini , uwekezaj katika masoko y madini n kulinda raslimali hii adhim, kujenga mahospital na vituo vya afya, elimu bure msingi mpaka sekondari o level, hakuna mkoa ambao haujapata stend hata moja heidha mradi umekamilik au unajengwa, ujenzi wa masoko, hakuna mkoa hauja pata lami Tz yote mijini, sijui ma BRT 2 , Flyovers plus Interchange mara kibaha highway , sijui mwenge to moroco 9 lines mara uku Tanzanite bridge kule kigongo busisi sijui wami oohhh sijui uko Tanga nako mabridge ...hujakaa sawa unasikia mareli ya zamani yamefufuliwa ooh na mm ntaenda chuga kwa train yani utafikiri ni michezo ya kuigiza kumbe ndio ukweli huoo...mara deni la Taifa limeshuka aisee ....haya ni yale niliyo kumbuka kwa sasa [emoji16][emoji16] kweli unakuja n akili ya kuvukia barabar unasema kuongezwa vyeo n mishara ww wapaswa kujitafakari

fikiria nimekaa tu haya yote yanakuja kichwan
Ww km unamiliki nyumba au majumba utaelewa hili ...hakuna kazi kama kufanikisha kujenga nyumba yako especially for the first time mambo mengi lazima ya kwame...sasa huyu mzee Anaijenga nchi kwanza iyo mishara n vitu vingine vitakuja

Ivi siniwee uliye tufany watot kutuambia maswala ya kikwete kujenga km 8500 sijui 9000 za lami....Aisee ningejua ni ww nisinge jisumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom