ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
uhasibuFlyover inajengwa wap hii
uhasibuFlyover inajengwa wap hii
Kuna ile ramani ya Africa inayoonesha ldc countries huwa wanapenda kuituma tuma humu itabidi kwa sasa wajiandae kisaikolojia halafu mwingine ndio kaiweka kama dp yake humu.



kweli kabisa maisha yashageukaNdio maana wamezidisha chuki na uwongo kuhusu Tzkweli kabisa maisha yashageuka

Mwezi ujao tender za ujenzi wa Uganda pipeline inatangazwa(just updates)Nairobi the lion, the beast in the Eastern and central Africa, simply calm and relaxed, others make noises, bark anyhowly, but won't move anywhere near, truly unbwoggable![]()
Hii kitu imefanana na lile jiwe la Sainuni kurian lizer,dadeki!!
It's been long overdue. Kenya: relaxed mode as things move ki sniper.Mwezi ujao tender za ujenzi wa Uganda pipeline inatangazwa(just updates)
😂😂😂Hii kitu imefanana na lile jiwe la Sainuni kurian lizer,dadeki!!
Hata dola millionaires mlisema hivyo.It's been long overdue. Kenya: relaxed mode as things move ki sniper.
Naona kama IMF wanatubembelezea pesa hivi 😂
Naona kama IMF wanatubembelezea pesa hivi 😂
Bro I like you. You don't bullshit around with this guys.Tanzania sidhani hata kama kuna city yoyote isipokua hii fishing village huita cityView attachment 1488769View attachment 1488770
Kama kweli wanatujali basi watupe pesa za miradi ya kimkakatiwanalenga masharti tu hakuna lolote
😂😂Yan mpaka tunabembelezwa kukopa while wazee wa lockdown wanaendelea na lockdown ya ili waonewe huruma wa kupewa mkopo 😃
Kuna ile ramani ya Africa inayoonesha ldc countries huwa wanapenda kuituma tuma humu itabidi kwa sasa wajiandae kisaikolojia halafu mwingine ndio kaiweka kama dp yake humu.


hawawezi hawana nia njema haoKama kweli wanatujali basi watupe pesa za miradi ya kimkakati
Hizo zenye masharti ya lockdown watuache tu kama walivyotukuta 😁
Mzee baba hii kitu so mchezo. Watu inawauma sanaaaaaTunasubiri kuona Trains zetu za umeme zikiwa Parked hapo View attachment 1489520
@daressalaamcity on IG
Hakuna kitu kama hii east na central africa nzima
Hiyo ndiyo inaitwa "respek" kaka .Yan mpaka tunabembelezwa kukopa while wazee wa lockdown wanaendelea na lockdown ya ili waonewe huruma wa kupewa mkopo 😃