Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sgr ya dizeli sasa inatofauti gani na mgr Washamba wamepigwa na mchina wameambiwa kuwa ni sgr kumbe mgr
Hapo ni pesa ya walipa kodi imetafunwa ,labda wakimaliza kulipa Mchina wataanza maabadilko[emoji18][emoji18][emoji19]
 
Kwanza uelewe kila awamu ina mambo yake ya kutekeleza kuanzia pale ilipoishia nyingine na kuanzisha mambo mapya
1.JK alijenga mitambo ya umeme wa gas na mabomba,hakuona haja ya umeme wa maji maana kila awamu na zama zake nadhani unakumbuka uchumi/umeme wa gas ndio ulikua kauli mbiu ya awamu iliyopita sasa huyu kapiga chini
Niongeze volume ya kulinganisha hasa kwenye uchumi?
2.Kujenga jengo sio kwamba ndio soko,kwani kuna siku ulikuta madini hayauziki eti yamekosa jengo linaloitwa soko? Ko hii sio hoja bali serikali kuleta ujamaa
3.Aliyeasisi mchakato wa reli ya sgr ni Jk kupitia wachina,Magu kateka nyara na kuleta mkandarasi wake kama alivyoizima bandari ya bagamoyo
4.Barabara zote anazozindua Magu hajawahi kuzianzisha yeye kuanzia brt hadi flyovers..Jk aliunganisha mikoa ya iringa-dodoma-singida,mbeya-sumbawanga-mpanda,Kigoma-burundi,Songea-masasi-mtwara nk nk..Hadi leo hii Magu kashindwa kuunganisha kagera-kigom,mbeya-tabora/singida,tabora-kigoma nk nk kachemka
5.Elimu bure ilianzia kwa kushusha ada tangu enzi ya mkapa kwa shule ya msingi,jk akashusha ada ya o level na kujenga mashule ya kata nchi nzima hadi vyuo vikuu sio kama saizi watu wanajenga mabweni wanajipiga kifua

watanzania... ukitaka kujua huyu jamaa ni hamnazo.. ni kwamba hio point ya kwanza natolea maelezo yafuatayo .. mim ninafanya kazi kwenye plant ya umeme wa gas..
installation costs ya umeme wa maji ni kubwa kuliko ya gas lakin maintenance costs ya umeme wa gas ni kubwa sana, mara dufu, kuliko ya umeme wa maji.. pia resource ya gas is limited ila maji yapo mda wote sasa hapa tayar tunajua nani ametengeneza plant ya umeme mzuri na ya uhakika ..

point nyingine najibu (nje ya engineering knowledge).. masoko ni muhimu kwasababu mzunguko wa hela unabaki nchini, zaman madini yalikuwa yanauzwa au kupigiwa mnada nje ya nchi.. hivyo hao wanunuzi wanakuja nchini na kununua hayo madini, na wala si sisi kuyapeleka huko nje kuyauza

tatu, KJ alikusudia kuleta SGR kama yenu ya diesel.. Magu kaleta ya umeme

nne, alietoa mapendekezo barabara zipi zijengwe alikuwa Magu mwenyewe maana alikuwa waziri wa ujenzi.. JK kazi yake ilikuwa ni kuunga mkono tu kwamba mapendekezo ya Magu yapite

tano, kuna tofauti kati ya kwenda shule bila kulipa ada kbsa na kwenda shule huku unalipa ada, hata ingekuwa ada ni 1000/=.. hapo tofauti ipo!
 
1. ukitaka kukuza uchumi wa uhakika lazma uwe na vyanzo vingi vya nishati ikiwemo ya maji kwa maana ni muhimu sana kwasababu ya ku stablize bei elekezi due to its maintenance cost

2. kujenga masoko ya madini kwanza ni kudhibiti mapato ya serekali na pili kupunguza utoroshaji wa madini na tatu usalama wa wachimbaji na nne ajira zitapatikana na la mwisho kudhibiti udangnyifu na utapeli kwa wachimbaji

3. magu kutekeleza hakuna ubaya kwasababu chama kinachoongoza ilani ni hicho hicho kimoja sasa sijaelewa unazungumzia nn hapo 😂😂 ww unachuki hata hazina msingi

4. kila rais anatekeleza ilani ya chama katika utawala wake sioni hoja ya msingi hapo labda ututajie flyover gan kikwete alinzisha zaidi ya kurasini interchange??

5. sasa kama kipindi kile walisoma kwa ada ya 5000 leo wanasoma kwa ada ya 500 bado unahisi ni sawa kwako ???😂😂😂
 
Eti umeme wa gesi lini huo umeme wa gesi umetumika effectively hapa Tz, eti kashusha ada kwa taarifa yako enzi za Mkapa kuna shule za private zilikuwa zinachaji mpk elfu 70 mara baada tu ya Jk kuingia ndpo ada zikaanza kupanda, kuhusu elimu iko wazi elimu ya Tz iliharibiwa na nani, anachukua mpk vilaza anapeleka advance na vyuoni, kuhusu barabara jibu unalo cwezi hata kugusia, vipi sekta ya afya mbn hujaigusa [emoji3][emoji3][emoji3], and incase u don know ni kwamba chini ya Jpm Tanzania inasubiri siku tu kuingia kwenye group la middle Income countries [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mbongo ni mtu wa ajabu umeme ukikatika atakwambia kwann umeme unakatika na umeme usipokatika atakuuliza kwann umeme haukatiki ndio sawa na huyo jamaa😂😂
 
1. ukitaka kukuza uchumi wa uhakika lazma uwe na vyanzo vingi vya nishati ikiwemo ya maji kwa maana ni muhimu sana kwasababu ya ku stablize bei elekezi due to its maintenance cost

2. kujenga masoko ya madini kwanza ni kudhibiti mapato ya serekali na pili kupunguza utoroshaji wa madini na tatu usalama wa wachimbaji na nne ajira zitapatikana na la mwisho kudhibiti udangnyifu na utapeli kwa wachimbaji

3. magu kutekeleza hakuna ubaya kwasababu chama kinachoongoza ilani ni hicho hicho kimoja sasa sijaelewa unazungumzia nn hapo [emoji23][emoji23] ww unachuki hata hazina msingi

4. kila rais anatekeleza ilani ya chama katika utawala wake sioni hoja ya msingi hapo labda ututajie flyover gan kikwete alinzisha zaidi ya kurasini interchange??

5. sasa kama kipindi kile walisoma kwa ada ya 5000 leo wanasoma kwa ada ya 500 bado unahisi ni sawa kwako ???[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa cjui kafanywa nn na Magu mana hoja hana ila anakaza hivyo hivyo [emoji3][emoji3]
 
watanzania... ukitaka kujua huyu jamaa ni hamnazo.. ni kwamba hio point ya kwanza natolea maelezo yafuatayo .. mim ninafanya kazi kwenye plant ya umeme wa gas..
installation costs ya umeme wa maji ni kubwa kuliko ya gas lakin maintenance costs ya umeme wa gas ni kubwa sana, mara dufu, kuliko ya umeme wa maji.. pia resource ya gas is limited ila maji yapo mda wote sasa hapa tayar tunajua nani ametengeneza plant ya umeme mzuri na ya uhakika ..

point nyingine najibu (nje ya engineering knowledge).. masoko ni muhimu kwasababu mzunguko wa hela unabaki nchini, zaman madini yalikuwa yanauzwa au kupigiwa mnada nje ya nchi.. hivyo hao wanunuzi wanakuja nchini na kununua hayo madini, na wala si sisi kuyapeleka huko nje kuyauza

tatu, KJ alikusudia kuleta SGR kama yenu ya diesel.. Magu kaleta ya umeme

nne, alietoa mapendekezo barabara zipi zijengwe alikuwa Magu mwenyewe maana alikuwa waziri wa ujenzi.. JK kazi yake ilikuwa ni kuunga mkono tu kwamba mapendekezo ya Magu yapite

tano, kuna tofauti kati ya kwenda shule bila kulipa ada kbsa na kwenda shule huku unalipa ada, hata ingekuwa ada ni 1000/=.. hapo tofauti ipo!
Kwenye miundombinu nmemwambia apitie kitabu cha Mkapa amemtaja Magu kwny sekta ya miundombinu, ss aende aangalie Magu alipewa kitengo gn, yn unapoambiwa Magu ameplay part kubwa kwny miundombinu ya nchi hii inatakiwa mtu uelewe, lkn mkuu huyu mpumbavu tuachane naye tu cz nae ana haki ya kuhoji so tuwe tunamwacha tu.
 
Mbezi luis, hii progress ni ya mwezi wa tano, bila shaka now watakua mbali zaidi:
1593299972846.png

1593300049379.png

1593300118726.png

1593300163484.png

1593300239641.png

Nikweli wameona haibu kwa mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na taharuma zao maana Kenya ambayo 80% ya RAIA wake wanaishi kwa slum kuiweka juu ya tz ? Hii ni faida ya tz kuanza kujitangaza kupitia wanamuziki wetu na vyombo mbalimbali vya habari na magufuli vyote vimesababisha wabaki midomo wazi na kuficha aibu zao kwa kuitoa tz LCD ghafla
Huwa nasema haya "malebo" ya LDC yanatumika kisiasa na kinafiki zaidi ya uhalisia.

Hata GDP yetu ni zaidi ya mara tatu ya hiyo inayoripotiwa, ni vile tuu hatujumuishi data zetu za mapato yote.

Angalia yule mmasai wa Tanzanite ya $3m na ushee, huyu teyari alikuwa na ng'ombe 2000, mbuzi zaidi ya 800, mgodi wa Tanzanite na inawezekana ana ardhi kubwa ya malisho. Lakini walimwandika kwenye vyombo vya nje kuwa alikuwa masikini, yaani ngo'mbe wote hao, mgodi na mbuzi thamani yake ni zaidi ya dola milioni moja lakini unakuta hayupo kwenye kuthaninisha GDP.

Ndiyo hapo wanashangaa, inakuwaje nchi masikini inaweza kufanya miradi yote hiyo kwa mkupuo na kuwa na mamilionea wengi kiasi hiki?
 
Kwanza uelewe kila awamu ina mambo yake ya kutekeleza kuanzia pale ilipoishia nyingine na kuanzisha mambo mapya
1.JK alijenga mitambo ya umeme wa gas na mabomba,hakuona haja ya umeme wa maji maana kila awamu na zama zake nadhani unakumbuka uchumi/umeme wa gas ndio ulikua kauli mbiu ya awamu iliyopita sasa huyu kapiga chini
Niongeze volume ya kulinganisha hasa kwenye uchumi?
2.Kujenga jengo sio kwamba ndio soko,kwani kuna siku ulikuta madini hayauziki eti yamekosa jengo linaloitwa soko? Ko hii sio hoja bali serikali kuleta ujamaa
3.Aliyeasisi mchakato wa reli ya sgr ni Jk kupitia wachina,Magu kateka nyara na kuleta mkandarasi wake kama alivyoizima bandari ya bagamoyo
4.Barabara zote anazozindua Magu hajawahi kuzianzisha yeye kuanzia brt hadi flyovers..Jk aliunganisha mikoa ya iringa-dodoma-singida,mbeya-sumbawanga-mpanda,Kigoma-burundi,Songea-masasi-mtwara nk nk..Hadi leo hii Magu kashindwa kuunganisha kagera-kigom,mbeya-tabora/singida,tabora-kigoma nk nk kachemka
5.Elimu bure ilianzia kwa kushusha ada tangu enzi ya mkapa kwa shule ya msingi,jk akashusha ada ya o level na kujenga mashule ya kata nchi nzima hadi vyuo vikuu sio kama saizi watu wanajenga mabweni wanajipiga kifua
Comment zingine kama hii ni za Kijinga tu
 
Huwa nasema haya "malebo" ya LDC yanatumika kisiasa na kinafiki zaidi ya uhalisia.

Hata GDP yetu ni zaidi ya mara tatu ya hiyo inayoripotiwa, ni vile tuu hatujumuishi data zetu za mapato yote.

Angalia yule mmasai wa Tanzanite ya $3m na ushee, huyu teyari alikuwa na ng'ombe 2000, mbuzi zaidi ya 800, mgodi wa Tanzanite na inawezekana ana ardhi kubwa ya malisho. Huyu walimwandika kwenye vyombo vya nje kuwa alikuwa masikini, yaani ngo'mbe wote hao, mgodi na mbuzi thamani yake ni zaidi ya dola milioni moja lakini unakuta hayupo kwenye kuthaninisha GDP.

Ndiyo hapo wanashangaa, inakuwaje nchi masikini inaweza kufanya miradi yote hiyo kwa mkupuo na kuwa na mamilionea wengi kiasi hiki?
Ndivyo huwa naamini mm hv.
 
Jamaa cjui kafanywa nn na Magu mana hoja hana ila anakaza hivyo hivyo [emoji3][emoji3]
Aise mkuu,huyu jamaa nahisi ni sycophants wa JK ambao walikuwa wakijiita "Mr.untouchable" sasa Magu alipoingia,mambo yamewabadilikia,yaani yupo frustrated sana,alafu inaonekana psychologically,ana msongo wa mawazo sana.ni kumpuuza tu.
 
Back
Top Bottom