Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Huwa napenda sana Mawe ya msingi aweke magufuli, cause huwa anatupa Taarifa zingine za ndani.
Mfano hapa tunaweza pata habari kuhusu makutupora to mza
Or
Kuwasili kwa mabehewa nk.
Huwa napenda sana Mawe ya msingi aweke magufuli, cause huwa anatupa Taarifa zingine za ndani.
Mfano hapa tunaweza pata habari kuhusu makutupora to mza
Or
Kuwasili kwa mabehewa nk.
kwahiyo bado hawatambui vibali vyetu?Aisee Madereva Wa Dar Wanapimwa COVID -19. leo nimeenda National Health Lab Kushugulikia watu wanaotakiwa kusafiri na wanahitaji certificate kwenye Ile lab mpya mabibo nimekutana na Madereva wanaenda kuchukua majibu na certificates zao , Kuna dereva kaniambia haipendi Kenya , wanapima kwa mabavu na Ukiwa una hela basi we huna Corona[emoji23].
Baada ya hapo nimeenda Mabibo hata Huku uswahilini waenda kwa miguu wanaheshimiwa wana eneo la kujinafasi kutembea barabarani.
Kuna mtu alisema huko kwao eti ni eneo la walalahoi , kwa hiyo hata pa kutembea hawatakiwi kuwekewa vizuri.
By the Way , nilikua natembea kwenda kupanda mwendokasi Ubungo[emoji23]
Asikuambie mtu mfoleni wote ule Morogoro road halafu BRT bus inapasua tu.
Hawataelewa wanapanda fabricated isuzu trucks for Public Transport.
View attachment 1490335
kwahiyo bado hawatambui vibali vyetu?
Kuingizwa yale madude ubongoni unaweza ku-paralyze aisee! Unaweza ukashangaa hudindishi ghafla kumbe nerve ya sensation kule chini imechokonolewa!Wanatambua ndio maana madereva wa Tanzania wanaoima hapa Dar , na Kinakua valid kwa Siku 14 Tu. Zikiisha anapima tena.
Kuingizwa yale madude ubongoni unaweza ku-paralyze aisee! Unaweza ukashangaa hudindishi ghafla kumbe nerve ya sensation kule chini imechokonolewa!
Wakati jumla ya wanajeshi wote wa KDF ni 24,000 pekee, wacha kuweka vitu vya ajabu, tunazungumzia jumla ya wanajeshi walioko sasa hivi katika UN peace missions, sio accumulative tangu nchi ilipopata Uhuru, hata hivyo ni uongo kuwa na wanajeshi wengi Mara mbili ya idadi ya jeshi la nchi.
Sisi tulianzia zamani,kdf is so powerful in Africa,nyi hamna kitu mnajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nkuu balaaKuingizwa yale madude ubongoni unaweza ku-paralyze aisee! Unaweza ukashangaa hudindishi ghafla kumbe nerve ya sensation kule chini imechokonolewa!
garimoshi!Nairobi National Park 7km SGR Bridge View attachment 1490139
Nimemuelewa sana Eng. Kamwele. Dar Port itakuwa inashindana na Lamu Port na Mombasa Port kwa mpigo.Huku Tanga na Mtwara Ports zikifukia mabonde yanayobaki.Tanzania ports expansion
Kuna wale wapuuzi wanaodai ati Lamu port ita-serve Dar port Post panamax ships from abroad!Nimemuelewa sana Eng. Kamwele. Dar Port itakuwa inashindana na Lamu Port na Mombasa Port kwa mpigo.Huku Tanga na Mtwara Ports zikifukia mabonde yanayobaki.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app