The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ss nasubiri mkenya wa kuijibu hii, mana ilikuwa tukiweka hii wao wanaweka ile ya LDC, ss ngoja niweke af tuone wao wataweka ipi, Tz is so lonely in the region[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna ile ramani ya Africa inayoonesha ldc countries huwa wanapenda kuituma tuma humu itabidi kwa sasa wajiandae kisaikolojia halafu mwingine ndio kaiweka kama dp yake humu.