Haya uliyoyaandika ndio huwa nawaambia Wakenya ambao wanakazana kupost majengo humu yasiyo na impact kubwa kwa walalahoi ambao ndio wengi, yn tupo tofauti sn wao wanapost majengo na magari, cc tunapost miradi ya kimkakati ambayo asilimia kubwa inaenda kumgusa mlalahoi, na huu ndio ukweli kwamba Tz ikishakamata usukani itakuwa ngumu sana kufikiwa na nchi yoyote hapa EA kwasabu mazingira ya kiitikadi huku kwetu yapo vzr, hakuna udini wala ukabila, tofauti na wenzetu, cc tulihitaji mtu shupavu asiyeendekeza siasa ili atuamshe na tumempata, so jirani zetu wategemee Tz kutawala ktk nyanja zote za kiuchumi miaka michache ijayo.