Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

u think Kenya imelala,tusha pita Angola nyi mkiwa tu palepale

Nyie mumekwisha..Nchi ishapoteza muelekeo yaan mnaomba mkopo kulipa madeni.

Hapa ukiwaambia wakenya watume masoko yao ya kisasa kama haya yanayojengwa TZ watabaki kutuma shopping mall[emoji1787][emoji1787]...ukiwauliza je mlala hoi ataenda nunua nyanya shopping mall..[emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya na kama hamujui, BOT inaweka utaratibu mzuri wa kununua dhahabu ambazo zitakazokuwa purified na Gold refineries za ndani, wanasubiri Gold refinery ya mwanza na ile ya dodoma zianze kazi ianze kununua kupitia shirika lake la STAMICO hvyo kutaifanya TZ kuwa nchi ya kwnza na ya pekee Afrika ya mashariki kuwa na GOLD RESERVE ya Nchi.
 
The Luminary Masaki

IMG_8785.jpg

IMG_8784.jpg

IMG_8788.jpg

IMG_8787.jpg

IMG_8786.jpg
 
Kwa aina ya wateule wa Rais wa kuongoza mashirika ya biashara hakuna faida itapatikana tofauti na kipindi cha Jk alikuwa anawateua watu wenye mlengo wa biashara na wazoefu wengine aliwatoa nje ila sio hao mnaowatoa kwenye nyuo kuja kuimba pambio tuu
Ww ndio unaimb pambiooo...hata hujui unacho ongea...
 
Kawadanganye wajinga wenzako. Mliban matatus kuingia CBD Halafu baada ya hali mbaya mkalift ban
Ilidhani ni cbd ile ya kicc na times towers??????,pole sana ni commercial center huko nyuma ya towers before uingie main cbd
 
Back
Top Bottom