Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Such are estates that Dar es Salaam will take long to see.
IMG_20200610_191058.jpg
IMG_20200610_182251.jpg
 
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuna uzembe umefanyika Maabara na kupelekea Watu kuambiwa wana corona wakati hawana >> tuna maambukizi 679 ya corona hadi sasa Uganda ila kati ya hawa Watu baadhi yao wameambiwa wana corona baada ya vipimo vya Maabara pale Makerere wakati hawana, Maabara imekosa umakini, inaonekana kuna wafanyakazi wachache Maabara na huenda walichokaā€
•
Museveni anatoa kauli hii ukiwa umepita mwezi mmoja tangu Rais Magufuli aliposema vipimo vya maabara ya corona vina shida na kupelekea kuundwa kwa Tume ambayo ilithibitisha kauli ya JPM na hatua kuchukuliwa ikiwemo kuanza kutumika kwa Mabaara mpya, JPM alitoa kauli hiyo akiwa Chato May 03,2020 .
•
Rais Magufuli alisema>> "Kama tunapeleka Sampuli za wanyama bila wao kujua na zinakuwa positive inawezekana wafanyakazi wa Maabara wanatumika na Mabeberu, Kama mapapai, mbuzi wana corona, basi WHO wanapaswa kufanya kazi kubwa ya ziada, kwa hili lililotokea lazima Kuna watu wameambiwa wana corona wakati hawana"
#MillardAyoUPDATES
 
This Tower In Nairobi is Sleek and beautiful.
View attachment 1476167

Sasa hilo linamsaidia nini mwananchi mnyonge maana hao ndo wako wengi kwenye nchi zetu.

Pambaneni na kuinua kilimo maana tumechoka kuwalisha, pelekeni maji vijijini na mijini, sambazeni umeme vijiji vyte, boresheni huduma za Afya.

Yawezekana iliandikwa kuwa kuna muda utafika mwana Tanzania atarudi kwenye nafasi yake afrika ya mashariki.

Nataka kuwahakikishia ndugu zetu Wakenya ikiwa Tanzania tukarudi kwenye utawala wetu wa awali afrika mashariki yaani kiuchumi ulioambatana na uzalishaji,usafirishaji,utalii, n.k basi haitakuja kutokea Kenya kurudi kwnye hyo nafasi tena, kwanini, kwasababu JPM amebadilisha mfumo wa uongozi na uwajibikaji ambacho hicho kitu hakiwezekani Kenya kutokana na Ukabila uliopo unaopelekea hata Raisi kushindwa kumtumbua waziri wake kwa maana unakuta waziri anatoka kabila tofauti na yeye na hivyo kuogopa kukosa kura kwenye kabila hilo kwa uchaguzi ujao.

Ona Tanzania inavyojitawala sasa hivi hadi raha...this is going to take century kwa kenya kufika hapa
3d444cb4-9e0c-4dcc-9d13-58ae1620e808.jpg

4af833ef-6aa4-4b9d-aabe-76c110a9a123.jpg

99dd70fd-09e2-49fd-aa71-e7b93b808e2d.jpg

12215f1d-b589-4715-9dc4-39c44ffd24d1.jpg
 
Back
Top Bottom