Mbona hampo kwenye hii list?wapi serekali imesema inafanya biashara hebu tuanzie hapo
Mbona hampo kwenye hii list?wapi serekali imesema inafanya biashara hebu tuanzie hapo
Unaweza tuliza ilo kende nw....ngoma y watoto haikeshiLast time l checked you had a smaller economy thanGHANA






alfu ndio muwe n gari za kifahari zaidi yetu ww umebanwa n haja...





View attachment 1475973View attachment 1475974View attachment 1475976View attachment 1475977View attachment 1475975Hiyo ocean view, shwari kabisa
Hahaa!!mnapumbazwa tuKuna naibu Waziri wao mmoja alianza kuleta zile dharau kwa jinsi JPM alivyo approach jinsi ya kupambana na Covid-19 pandemic. Hii ilitokea mwanzoni ambapo kila mmoja alipojifanya mjuaji...
Sasa chama chake ndio kina mpatia disciplinary action.
JPM ni namba nyingine aisee..
We hata loan basi unajua watu hulipajeDeni la Kenya kwa China ni ,,US $6.5bilions...sasa hivi bandariya Mombasa inafanya kazi kupitia Mwongozo wa Uchina..


Duh!!mturuki kiboko, dude limekaa km kaburi vileView attachment 1472055
Wapi Nairobi terminus?? Na vile jua la Dar linavyowaka, reflections kwenye hizi glass zitakuwa superb!View attachment 1472205View attachment 1472206View attachment 1472207View attachment 1472209View attachment 1472211



Jengo la kipekee dunianiHili ni jengo la kipekee Duniani, Uyu Archtect ni shikamoo, liko very unique...naamini hizo taa zitakazovungwa ndani zitaenda kufanya jengo ling’ae kma Tanzanite usiku.

labda chato..Inakaa nyumba ya snailHonestly, this thing looks ugly, kama factory flani hivi., is that a train station ama ni glass all round inawafurahisha., this thing looks ugly for real! Weka inside design nione, maybe it will save face.



Ethiopia Airways ni biashara ya Serikali, kampuni la simu za mikononi kubwa kuliko zote huko Ethiopia ni kampuni la Serikali, kwa mwaka hundengeneza faida ya zaidi ya $7B. Serikali ya Qatar hupata zaidi ya $100B kutokana na biashara za Serikali.wewe nae ni mtu wa kukurupuka,hoja iliyopo mezani ni serikali kufanya biashara na matokeo yake hasi ndio nasema hakuna jipya ambalo huko awali linalohusiana na biashara serikali haikuwahi fanya na matokeo yake ni hasara.Ila wajibu wa serikali ubaki kwenye mambo inayotakiwa kufanya sio biashara
Ethiopia Airways ni biashara ya Serikali, kampuni la simu za mikononi kubwa kuliko zote huko Ethiopia ni kampuni la Serikali, kwa mwaka hundengeneza faida ya zaidi ya $7B. Serikali ya Qatar hupata zaidi ya $100B kutokana na biashara za Serikali.
rudisha hilo dinvi kichwani kwanza muondoe huu upuuzi 😂😂😂👇👇👇Mbona hampo kwenye hii list?View attachment 1475952