Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Temporary Data Center at Konza city now offering services to Companies in Kenya.
View attachment 1476134View attachment 1476135
Construction of the ultra modern center ongoing.
View attachment 1476136
wacha kurudia habari

Tanzania is to upgrade the current largest data center in EA to a tier a 4 with a completion of Dar-Dodoma-Makutupora SGR! Tanzania has had tier 3 national internet data center since 2017!







MY TAKE
Mind u a second Transmission Line from Dar to Mwanza is being constructed and since the SGR will use high tech signalling and train control ETCS level 2 the data center will have to be linked to NIDC.

While Kenya is trying to have first national data center at Konza
 
Adjustments.jpg



from mbundya Island
 
Nimekuambia when it comes to roads Nakuru nd'o level ya Dar. Hizo story mob jiekee utaambia wajukuu wako.
Mpuuzi kweli wewe,

Njoo ujionee barabara zilizosimama. Na nyie msijifanye sana kwanza kujenga barabara nzuri mmejifunzia kwetu. Kama unabisha muulizeni Odinga. Alikuja kujifunza kwa Magufuli those days wakati our head of state alikuwa Minister of Transport and Communications
 
Hivi hizi ndege tatu ni miongoni mwa zile Air bus zinazokuja mwakani..au ni hizi za sasa dream liners mbili na Cargo flight?

Nadhani hapo cargo halikosi hapo
ndege ya cargo ni budget yake ni ya 2020/2021 inayoanza July! Haya ni malipo ya A220-200 mbili na Bombardier na pia dreamliner 2 zitakazokuja na hiyo ya cargo!
 
Sasa hilo linamsaidia nini mwananchi mnyonge maana hao ndo wako wengi kwenye nchi zetu.

Pambaneni na kuinua kilimo maana tumechoka kuwalisha, pelekeni maji vijijini na mijini, sambazeni umeme vijiji vyte, boresheni huduma za Afya.

Yawezekana iliandikwa kuwa kuna muda utafika mwana Tanzania atarudi kwenye nafasi yake afrika ya mashariki.

Nataka kuwahakikishia ndugu zetu Wakenya ikiwa Tanzania tukarudi kwenye utawala wetu wa awali afrika mashariki yaani kiuchumi ulioambatana na uzalishaji,usafirishaji,utalii, n.k basi haitakuja kutokea Kenya kurudi kwnye hyo nafasi tena, kwanini, kwasababu JPM amebadilisha mfumo wa uongozi na uwajibikaji ambacho hicho kitu hakiwezekani Kenya kutokana na Ukabila uliopo unaopelekea hata Raisi kushindwa kumtumbua waziri wake kwa maana unakuta waziri anatoka kabila tofauti na yeye na hivyo kuogopa kukosa kura kwenye kabila hilo kwa uchaguzi ujao.

Ona Tanzania inavyojitawala sasa hivi hadi raha[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]...this is going to take century kwa kenya kufika hapa
View attachment 1476189
View attachment 1476190
View attachment 1476191
View attachment 1476192
Haya uliyoyaandika ndio huwa nawaambia Wakenya ambao wanakazana kupost majengo humu yasiyo na impact kubwa kwa walalahoi ambao ndio wengi, yn tupo tofauti sn wao wanapost majengo na magari, cc tunapost miradi ya kimkakati ambayo asilimia kubwa inaenda kumgusa mlalahoi, na huu ndio ukweli kwamba Tz ikishakamata usukani itakuwa ngumu sana kufikiwa na nchi yoyote hapa EA kwasabu mazingira ya kiitikadi huku kwetu yapo vzr, hakuna udini wala ukabila, tofauti na wenzetu, cc tulihitaji mtu shupavu asiyeendekeza siasa ili atuamshe na tumempata, so jirani zetu wategemee Tz kutawala ktk nyanja zote za kiuchumi miaka michache ijayo.
 
Back
Top Bottom