Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zingine hizo
FB_IMG_1591187902600.jpg
FB_IMG_1589020821375.jpg
 
kwan tunaposema mzungu anapanda maua na kuuza kwao anawabakiza nyinyi na njaa we unafkiri tunaongelea nn
Yani haya ni majinga kweli, mzungu analima maua anapiga pesa, ynyw yanashangilia wkt njaa inawatesa kila mwaka
 
Tea and horticulture fetches more money than all crops grown in Tanzania.
Output is simply just output. It doesn’t necessarily mean exports only. Nikimaanisha kuwa hizo data zao Ni za thamani ya exports na thamani kutokana na domestic consumption na ndo Maana this all just seems so fishy to me. Kumbuka agriculture sio mazao ya kilimo tu bali hata mifugo. Sasa ni output gani hiyo ambayo World bank inaongelea kuwa mmetuzidi? Imma go find out from them.
 
Hongereni...
Nigeria wanamazao gani iyo hela ni ndefu kweli nmeitamani ingekua ndio Tz kwa iyo idara
Agricultural output si ni total value of agri goods .although yes wako vizuri..kiukweli
.ila bado wa africa wengi including wao na sisi tuna import...we need to reduce this ..Ndo maana unaona Tz wanashugulika sana na Ulimaji wa Mawese na Alizeti miaka hii inayokuja tutapunguza import za Mafuta ya kula

Pia Production ya maziwa imeongezeka by 4% 2.7bil liters to 3.0bil liters

Holticultural export zimeongezeka to 772 mil usd
From 400 in 2014/15

Tan choice meat processing factory kimeanza kufanya kazi , Karanga leather factory kipo in finishing stages , Vingunguti abbaitor nayo inakarbia kuisha

Viwanda vya korosho vinaongezeka

I expect to see 20bil USD in next 3 years
 
Nikuuluze jomba, ukichukua simu janja inayo support 4G halafu uende sehemu ambayo mitambo yao hawaja install 4G network..bado unamaanisha uta browse kw kasi ya 4G
Kwa msingi huo huo,Sasa hapo jiulize swali..speed inakuwa nayo simu au mitambo!!??..

Yaani ni sawasawa na gari ya BMw yenye speed ya 200 km/h kwenye barabara mbovu,lazima utembelee speed ndogo kwa sababu infrastructure hairuhusu,lakini speed ya ile gari ipo palepale,kwa hiyo speed ipo kwenye gari na si infrastructure(barabara)..na hata kwenye mfano wako mitambo ni infrastructure ila speed ni uwezo wa simu,kwa hiyo speed inakuwa nayo simu na si mtambo(infrastructure)

Duh wakenya walimu wenu wana kazi,hamuelewi hadi mpewe mifano ya maandazi na bagia!!?!??🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom