Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don`t act childishly, who asked you the amount of data and type of phone you have? You have only been asked to watch the video .
Jamaa utajua tu kwao internet ni ghali, sasa anataka kulinganisha 3GB na unlimited data

Hyo si uki connect na tv quality ya 1080 si inakwisha na episodes hutozimaliza
 
Adjustments.JPG

Nairobi kwa Chini Kama Mogadishu, Halafu aliyechukua video mwenyewe hadi anacheka.

Asikuambie mtu Majiji yetu bado Third world.
 
Ndio uangalie basi, km hutaki kaa pembeni wengine wata angalia na ku comment wala kukurupuka tu
Niangalie jiji la stone age, kuna maajabu gn ss, najuwa mtanionesha CBK, na vile vi tower vngne ushuzi, but cwez enjoy kabisa mm ni mpnz wa density, na miundombinu ya kisasa km electric railways, BRT au flyover za kisasa, kitu ambacho hamna, ss unataka nipoteze mb bila 7bu ya msingi.
 
Jamaa utajua tu kwao internet ni ghali, sasa anataka kulinganisha 3GB na unlimited data

Hyo si uki connect na tv quality ya 1080 si inakwisha na episodes hutozimaliza
Hv ninyi elimu yenu inawasaidia kweli? Nmekwambia hyo 3GB natumia kwa android au huelewi maana ya android.
 
Niangalie jiji la stone age, kuna maajabu gn ss, najuwa mtanionesha CBK, na vile vi tower vngne ushuzi, but cwez enjoy kabisa mm ni mpnz wa density, na miundombinu ya kisasa km electric railways, BRT au flyover za kisasa, kitu ambacho hamna, ss unataka nipoteze mb bila 7bu ya msingi.
Tuonyesha hzo flyovers zenu mlizojenga zamani
Usisahau, ni video ndio natka
 
Back
Top Bottom