ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Acha ujinga, mngekuwa kwa hii list. This list still proves my point that Tanzania has an access rate of 32%
👇👇👇👇
Tanzania: 'Access to Power Jumps to 84.6%'
Acha ujinga, mngekuwa kwa hii list. This list still proves my point that Tanzania has an access rate of 32%
Hawajakosea kitu hapo, mbna lugha imetumika sehemu inayofaaHilo ndio tatizo lenu ujuaji tu haya elezea ww hapo walichokosea hapo nini
kwenu haijashuka bado jubilee inawakamua😂😂😂😂😂😂Hii pesa ya one litre inaweza kalipa fare ya sgr kutoka Nairobi hadi Mombasa na lunch chicken full
Ss ulikuwa unabisha nnHawajakosea kitu hapo, mbna lugha imetumika sehemu inayofaa
Kachuekue fees zako wewe umechezwa, yani hata factors nazo huzijui jamani..Ckia narudia response ya cm ktk matumizi ya internet inategemea na fast browsing speed na processing power ya cm usichoelewa hapo nn??
Wapi nilibisha km hyo sio lugha ya biasharaSs ulikuwa unabisha nn
Heheheheheeee umejaa mwnyw kwny corner, ss hzo nilizokupa mm ni nini km co factorsKachuekue fees zako wewe umechezwa, yani hata factors nazo huzijui jamani..
Anyway, ulale poa jombaree


Sio mimi nimesema😂😂😂
flyover kwa kiswahili kwani ni nini. madaraja ni bridgesKimara - Kibaha yatakatisha madaraja ya juu 7. Hints: madaraja hayo ndio yale ambayo wakenya wanayaita flyover
View attachment 1467274
Hiyo ngojeni 20501600MW it was capacity of 2017 and now is over 1900MW
Tea and horticulture fetches more money than all crops grown in Tanzania.nyinyi muna aggriculture gani labda miraa 😂😂😂 na ukweli unaujua kua njaa is part of ur life
Wacha ujinga 0ctober 2019...hakuna kitu mumebadilisha....huo mji ni maviii kunuka ...That`s downtown 2019. Watch it 20202 here