Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila kitu tunapiga bongo double.

Iwe GDP au output ya kilimo
😂😂😂 “ double” interesting choice of words
1E0A28B2-919E-4A81-A662-867A9A606C3B.jpeg
 
3gb kwa android phone si nyingi,hivi nyie wakenya mnawaza kwa kutumia ubongo au matako??!!!

Ahaaa nishajua nyie mmezoea wi-fi za kuibia,hamna ubavu wa kununua data
Usikute hapo kajiunga cha wiki GB1 ndo anatembea nacho kwa uangalifu mkubwa, ndo mana hata humu unaweza usimuone hata wiki ila atakuambia ana kazi nyingi za kufanya [emoji3][emoji3]
 
You are the dumbest creature as i have been tellin' you
Someone with htc one 4g haiwezi kuwa na internet speed sawa na anayetumia tecno w1 3g au edge
Ni wajinga sana hawa viumbe, ila somo wamelipata [emoji3][emoji3]
 
Huwezi mpata saa hizi, Ukiangalia trend yake ya muda kuwa online , unaweza gundua hata shughuli anazofanya[emoji23].
Unataka nishinde jf 24/7 jinsi unavyofanya? Wewe kweli kilaza
 
Back
Top Bottom