Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikuuluze jomba, ukichukua simu janja inayo support 4G halafu uende sehemu ambayo mitambo yao hawaja install 4G network..bado unamaanisha uta browse kw kasi ya 4G
Ndiyo maana nikwambia ww huwa unavamia vamia tu wala husomi comments kwa weledi, mm nilimwambia yule kilaza mwenzio kwmb speed pia inategemea na cm kuna cm zina support 2G, 3G na 4G haziwezi ku respond sawa.
 
Internet speed inategemea na simu..mama yangu
 
Hapa hta ukajitia uwehu huwezani, wewe umesema processing na internet browsing inategemea na "fastness" ya ku browse ya simu
Sasa nani hapo kauma nje
Narudia tena, responding ya cm ktk speed ya internet inategemea na fast browsing speed na processing power ya cm.
 
Internet speed inategemea na simu..mama yangu
Mbn unataka kunitoa nje ya reli yn una apply uchizi wako kwa gharama zng, internet speed ni constant which means km kampuni ime install 3G itakuwa hvyo hvyo 3G na c vngnevyo icpokuwa kinachofuta hapo ni response ya cm ktk matumizi ya hyo internet na c vngnevyo.
 
Narudia tena, responding ya cm ktk speed ya internet inategemea na fast browsing speed na processing power ya cm.
Byda pia unajua browsing ni process...
Nadhani km unauelewa wa hayo mambo hutokosa kujua kitu ambacho kinachangia processing power
 
Byda pia unajua browsing ni process...
Nadhani km unauelewa wa hayo mambo hutokosa kujua kitu ambacho kinachangia processing power
Ckia narudia response ya cm ktk matumizi ya internet inategemea na browsing speed na processing power ya cm usichoelewa hapo nn??
 
Hayaa
tapatalk_1590702775356.jpeg
 
Back
Top Bottom