Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I like this era of youtubers. No filters, yani vitu real kabisa. Here are videos of Nairobi CBD and Dar CBD. The difference is like day and night, look at the cleanliness and planning of both CBDs. Anybody that is comparing the two cities is mad.


We Ni victim of comparisons, Na kwa alieangalia video hizi hawezi hata kuona tofauti. ..
Nairobi inapendeza zaidi kule upperhill apo cbd nyumba nyingi zimechakaa tu
 
Wakenya ni wajinga sana uki debate naye huwa anapambana akutoe nje ya reli kwa kuingiza vitu vicvyokuwepo kwny debate
Juzi kaandika humu eti Dar hakuna commuter rail akadai nimletee ratiba...nikamletea akaanza eti anataka ya sasa hivi akapewa iliyopo kwenye website ya TRC naona hakurudi tena,
Hapo utaona alianza kutoka nje ya reli baada ya kuona amekamatika,

Wana akili fupi hakuna mfano.
 
Acha ujinga processing and browsing power ya cm pia ina determine fastness ya cm ktk ku browse may be tunaongea vitu tofauti hapa.
Hahahaaa!!dogo acha kujichanganya
Jamanieee

"Fastness ya simu"..
Yani nimecheka sana
 
Hahahaaa!!dogo acha kujichanganya
Jamanieee

"Fastness ya simu"..
Yani nimecheka sana
Nyie mpk muoneshwe maelezo ya kizungu ndo muamini
Screenshot_2020-06-03-22-19-52.jpeg
 
Acha ujinga processing and browsing power ya cm pia ina determine fastness ya cm ktk ku browse may be tunaongea vitu tofauti hapa.
Anamaanisha simu yenye inayo support 2G , 3G na 4G zitakua na speed sawa so long as mnatumia same company. Kweli kazi ipo? Vitu vingine ni aibu kuandika

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Mi simo we endelea na elimu yako ya fastness ya simu katika browsing
hata kuelezea huwezi umebaki kuomba usaidizi tu, yn unataka kulinganisha speed ya cm inayotumia 4G na ile inayotumia 2G kweli jmn? Ss maana yake nini hapo.
 
hata kuelezea huwezi umebaki kuomba usaidizi tu, yn unataka kulinganisha speed ya cm inayotumia 4G na ile inayotumia 2G kweli jmn? Ss maana yake nini hapo.
Nikuuluze jomba, ukichukua simu janja inayo support 4G halafu uende sehemu ambayo mitambo yao hawaja install 4G network..bado unamaanisha uta browse kw kasi ya 4G
 
Back
Top Bottom