Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 375
- 707
Duu zishafungwa tyr ...aise kweli hapa kazi tu.
Duu zishafungwa tyr ...aise kweli hapa kazi tu.
Mafuta ya gari ni sawa na bure TZ
Hii pesa Kenya unanunua motorcycleI can fill my 53 L tank with 80,560 Only. Noma sana Boss .
Tuwaache waendelee kujifungia.I can fill my 53 L tank with 80,560 Only. Noma sana Boss .
Hebu ondoa ushamba wako hapa.Hii pesa Kenya unanunua motorcycle
Tuletee yenu mliojenga zamani km hzoKwakweli nimegundua hawa jamaa ni wahuni sn, yn hawana interchange wala underpass hata moja, nimeamini baada ya kuleta zile renders za hyo miradi hakuna sehemu wameandika interchanges, Wana miundombinu ya kizamani mno, cc tulikubali hatuna hzo vitu now tunajenga kwa kasi ili kuendana na majiji ya kisasa wao wanajifariji na miundombinu ya kizamani kweli washafeli![]()
Umesoma alichoandika!?Tuletee yenu mliojenga zamani km hzo
Hebu ondoa ushamba wako hapa.
Kwani kenya inatumia currency ya TZ.
Hii inaonesha namna wakenya mlivyo wajinga kichwani.
Hivi upo hata na elimu kidogo ya mambo ya fedha!?





.Hii pesa Kenya unanunua motorcycle


, Asante kwa kutujuza bei Za bodaboda kwenuNawaza tu hata BRT hizi za bongo zingekua Kenya zingeitwaje sijui labda "international Africa rapid road road with modern e-ticketing system" maana wanasiasa wao wanawaweza superhigh way mara highway mara sijui road sijui imefanyaje hata hawaoni noma kuwa brainwashed na majina ya barabara . Mbona hata pale mbezi kwenda kinyerezi kuna overpass wakenya wangehesabu interchange ile$12 millions??
Leta density nje ya cbd yenu tuone kijana.Heheheheheeee, lini umeanza kuvuta bangi![]()
Umesahau Dar ni New York of Africa? 😂 😂Angalia Video halafu fananisha na alichosema: LIKE EUROPE. Sijui Europe eneo gani
.
mulifanya kitambo mwaka gani ??? si turkana mumefungua juzi tu 😀😀😀Hizi ni vitu tulifanya kitambo sana. Kumbe nyinyi ndio mnaanza?
FACTSNawaza tu hata BRT hizi za bongo zingekua Kenya zingeitwaje sijui labda "international Africa rapid road road with modern e-ticketing system" maana wanasiasa wao wanawaweza superhigh way mara highway mara sijui road sijui imefanyaje hata hawaoni noma kuwa brainwashed na majina ya barabara . Mbona hata pale mbezi kwenda kinyerezi kuna overpass wakenya wangehesabu interchange ile
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app