Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uko so desperate kijana, tulia sindano ziingie vzr, hyo 2022 ndo tutakuwa tushawazika futi 6 chini
Hamna uwezo wa kuzika hata ka Zambia na akina Malawi., ni fikra tu unayo., the reason Tz is mentioned as the most poverty stricken in both EAC na SADC, licha ya kujaribu kuficha mambo. CCM hoyee 2022 si mbali., kuna kipindi mulisema eti by 2017 mtakua at par with Kenya, ilikuja na ikapita. Mara Dar port will collect more revenue than Mombasa by 2018, lakini wapi., I remwmber comments kama hizi zako., tu utafyata domo domo tu.,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Everyone is not taking chances, mbona nyie mumefunga shule na vyuo vikuu?., nakuambia uko na deficiency kwenye fikra. Hayo yalikua maoni yangu., ama haujui kusoma, wewe uko tayari kupinga kila jambo, uneccesary debate, I stayed kwa hostel yenye watanzania wengi, kazi ilikua ni kupingana tu ovyo ovyo, mnapenda ligi sana hata mahali haipo.
Km covid haisumbui kwnn mnajifungia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna umuhimu wa misanamu ya zege badala ya kupafanya pawe green zaidi? Ningekuwa nasimamia mradi huu fedha za kulipa sanamu za zege ningewekeza kwenye sprinkler system ya kumwagilia majani na kuweka sehemu za kukaa na fountains!
Hiyo park ni kubwa sana, clips zimeonesha kwa uchache mno kuna maeneo mengi hayajaoneshwa, hata fountain ipo
 
Hamna uwezo wa kuzika hata ka Zambia na akina Malawi., ni fikra tu unayo., the reason Tz is mentioned as the most poverty stricken in both EAC na SADC, licha ya kujaribu kuficha mambo. CCM hoyee 2022 si mbali., kuna kipindi mulisema eti by 2017 mtakua at par with Kenya, ilikuja na ikapita. Mara Dar port will collect more revenue than Mombasa by 2018, lakini wapi., I remwmber comments kama hizi zako., tu utafyata domo domo tu.,

Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheheheeee yn mipango kabambe tunayofanya na kuzuia upuuzi wote mliokuwa mnatufanyia lkn bado unajipa moyo kwamba utakuwa sawa na Tz, kweli roho ya mtu kutoka ngumu, ila mwishowe hamtokuwa na jinc itabd mkubali tu c unajua tena mambo ya DNA
 
Sasa ndio inadhihirika, and I said that is my personal opinion, soma vizuri. Who knew Africa will servive covid19 after what happened in Italy?, Tz gambled, which is risky., a broken clock is correct twice a day., so when u get something right at some point it doesn't necessarily mean you are alright. Tanzania ni dead state kaa ukijua hivyo, ile silu mtafufuliwa dunia yote itajua.
Kasema haisumbui!

Sasa zile uwongo walizokuwa wanaeneza kuhusu corona Tz zilikuwa za nini?

Unaona aina ya vichwa ngumu za kikunya humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndio inadhihirika, and I said that is my personal opinion, soma vizuri. Who knew Africa will servive covid19 after what happened in Italy?, Tz gambled, which is risky., a broken clock is correct twice a day., so when u get something right at some point it doesn't necessarily mean you are alright. Tanzania ni dead state kaa ukijua hivyo, ile silu mtafufuliwa dunia yote itajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna kitu utaongea ueleweke, tumewafumua malinda ktk kila idara, c angani, majini, wala nchi kavu, kitu mlichobaki kujicfu ni ushuzi wa GDP Tu ambayo nayo tunakwenda kumaliza jambo mchezo uishe.
 
Sasa ndio inadhihirika, and I said that is my personal opinion, soma vizuri. Who knew Africa will servive covid19 after what happened in Italy?, Tz gambled, which is risky., a broken clock is correct twice a day., so when u get something right at some point it doesn't necessarily mean you are alright. Tanzania ni dead state kaa ukijua hivyo, ile silu mtafufuliwa dunia yote itajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tz gambled, which is risky! haisumbui!
Akili fupi kama sabuni za lodge.
 
itabidi Kenya isimame kwa miaka kama kumi hivi ama iwe stagnant on growth or negative annual growth kama vile south Africa., mnafanya mambo sikatai unadhani Kenya imesimama., ama kwasababu atuonyeshi kwa media zetu?., once imeonyeshwa it is no longer news., be patient utajionea mahali GDP yenyu itafika baada ya hizo mikakati, nyie nikama masikini ambaye amepata, sasa ni matako yanalia mbwata.,
Heheheheheeee yn mipango kabambe tunayofanya na kuzuia upuuzi wote mliokuwa mnatufanyia lkn bado unajipa moyo kwamba utakuwa sawa na Tz, kweli roho ya mtu kutoka ngumu, ila mwishowe hamtokuwa na jinc itabd mkubali tu c unajua tena mambo ya DNA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
itabidi Kenya isimame kwa miaka kama kumi hivi ama iwe stagnant on growth or negative annual growth kama vile south Africa., mnafanya mambo sikatai unadhani Kenya imesimama., ama kwasababu atuonyeshi kwa media zetu?., once imeonyeshwa it is no longer news., be patient utajionea mahali GDP yenyu itafika baada ya hizo mikakati, nyie nikama masikini ambaye amepata, sasa ni matako yanalia mbwata.,

Sent using Jamii Forums mobile app
Af kwa ss I can see signs of inferiority complex mko nayo juu ya Tz, Wakenya mmeanza kuwa na hako kamsemo eti mambo yenu hamuoneshi, huyo asiyeonesha mambo yake ni mkenya wa wapi uyo, sema hakuna mnafanya now a days, madeni yamewakaba chupi zenu
 
What is the GDP of that upcoming capital?, how much revenue does it contribute to your economy in a year?(am sure can't compare to Kiambu county's revenue or Nakuru's)., population?., but mnajaribu, keep up, but dont over think 007.,
C mchezo mzee, Dodoma kweli inakwenda kuwa capital of Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do you know the meaning of inferiority complex kweli? ama you read it in jamii forums?., kaka kama kuna watu wako na huo ugonjwa ni nyie., trying hard kuonyesha vile mko bora zaidi ya Kenya., puting your best foot forward,
Wacha kujipiga risasi kwa mguu., The best 007 kuwa na usiku mwema., let me prepare to trade asian market.,
Af kwa ss I can see signs of inferiority complex mko nayo juu ya Tz, Wakenya mmeanza kuwa na hako kamsemo eti mambo yenu hamuoneshi, huyo asiyeonesha mambo yake ni mkenya wa wapi uyo, sema hakuna mnafanya now a days, madeni yamewakaba chupi zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hey guys, been away kidogo na nimeona majirani wakiniquote left right and center. Anyway, leteni hizo feelings sasa I deal with them
Haaaaaaa mlinzi umerudi ngoja kwanza tuanze na utambulisho wa ile picha yako

Send by APOLO 1
 
Back
Top Bottom